Nitawezaje kuchukuwa Screen shots kwenye simu ?

Nitawezaje kuchukuwa Screen shots kwenye simu ?

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari wadau,

Kwa mwenye kuelewa naomba kufahamishw jinsi ya kufanya screenshot kwenye simu.

Nawasilisha..
 
Alcatel TCL S500


Sina uhakika sana

Jaribu→→→→Hold volume up button with Power button at the same time

Or

Hold Volume down button with power button at the same time

Rejesha feedback
 
Kama hivi... mbona simple tu fuata maelekezo ya mkuu hapo juu
 

Attachments

  • 1411679315645.jpg
    1411679315645.jpg
    32.2 KB · Views: 135
S3 mini ni→→→→→ power button & home button simultaneously kwa pamoja
 
Hapana mkuu haikubali. Nimejaribu both ways..
Mkuu nenda kwenye store yako kwanza, then download "SCREEN CAPTURE" then install it. Baada ya hapo ndio utafuata maelekezo ya hiyo software. Mpaka udownload hiyo software kwanza.
 
Mkuu nenda kwenye store yako kwanza, then download "SCREEN CAPTURE" then install it. Baada ya hapo ndio utafuata maelekezo ya hiyo software. Mpaka udownload hiyo software kwanza.

Asante mkuu. Ngoja nifanye ivyo
 
Well...atlast imekubali.

Asante kwa kunipa maujuzi wote mlioniekeza
 

Attachments

  • 1411713826617.jpg
    1411713826617.jpg
    31 KB · Views: 74
Nimetumia EASY SCREENSHOT km mdau Mawenzi alivyoshauri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom