Nitawezaje kublock PORN sites kwenye browser....

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Wakuu kila nikija kucheki history ya kwene browser (natumia firefox) nakuta wameaccess(wenzangu) hiyo kitu...
Msaada kama kuna settings naweza fanya au kama kuna software ya kublock mtu kuaccess porn sites kwenye pc yangu..
Vile vile namna ya kuzuia pop ups zenye kitu kama such
shukrani..
 
Sasa si bora usifungue tu,ukiona hivyo unapenda!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
History kwene browser ina kazi yake na ina umuhimu sana kwangu..niweze kucatch up pale nilipoishia ua kufungua site niliyowah kukuta kitu fulani..so kausha mkuu
Sasa si bora usifungue tu,ukiona hivyo unapenda!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo kitu wawezafanya manually mkuu kwa kujaza address za hizo webu kwenye browser yako na hata antivirus zina hiyo option au ukiona vipi chukua hii kitu inayoitwa FoxFilter HAPA itakusaidia
 
fanya hivi.

kabla ya kufanya lolote katika mozila fanya hivi

1.Nenda Tools-Click
2.Click Options
3.click privacy
4. marck kwenye 'Do not tell cites anything.......'
5 katika 'history' ambapo imeandikwa firefox will.......
6.Scroll hadi iliyoandikiwa 'Never remember history'
7.Chini yake kuna palipoandikiwa 'clear all current history'
8.OK.

Umemaliza
 
njia zote hizo ni nothing kama na wewe huwa unaingia nambie lakini kama hutaki kabisa sema nikupe maelekezo ili kila rafiki yako akiandika adress ya hiyo website apelekwe google au mtandao wowote utakaopenda wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…