Daah na typo kichizii sijazoeaa smartphone zetuu izii nisamehen kwa hili
But if you wabt to try.. fo with Fiverr.com.. wao unalipwa dola 5 kwa any service. . So buyers hawaogopii kujaribuu na new guy.. utapooanza kazi nne au tano za mwanzoo ni shidaa cuz huwez kutengenezaa web kwa bei hiyoo.. ila take it as doing it for free..
baada yapoo utakuaa unapokeaa watu kwenye msg kama watatu per day.. so utaanzaa kuongeza bei lets say dola 50 kwa web.. now still reputation inavyokuaa wanaongezekaa so utapandaa tenaa... ilaa wengi hawaodii ukizidishaa 150$.
At least kwa mimi hawakukubali wengi.. so I settled kwenye 100 to 130... na usifanue mazinguoo bad review ya client inakuaribiaa kinomaa its like ebay.. una order kwa kucheki review
Try to google terms zilizotumikaa na website then utaelewaaa...
yaah its verified.. post za kuchekii verified zipo apa apaa.. inawweza chelewaa but within six days nathan utakua umeipataa
Mimi nachotaka kufanya ni na2mia proxy mfn za usa au uk then natafta vcc online then naithibitisaha paypal yangu hapo nitakuwa nina uwezo wa kusend au kurecieve money as long natumia proxy yangu na kucleare cache zangu kila wakati ili wasinilimit
Ndio mkuu nimefanya transactions nyingi enzi zile za TG na PD proxy bila shida yoyote...hebu nifanulie kidogo hapo @njunwa wamavoko yaani umefungulia paypal kwa ip ya tanzania na na una login kwa ip ya nje na umeweza fanya transaction maana paypal kuna system huwa zina monitor location kwa ajili ya maswala ya theft na umeveryfy kwa bank ya TZ
yaah its verified.. post za kuchekii verified zipo apa apaa.. inawweza chelewaa but within six days nathan utakua umeipataa
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa.. website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa,?
Ulifanyaje mpka ukawa unapokea hela paypay yangu sipokei naona naweza kutuma tu nielimishe hapa
Wakubwaa December 26 niliwezaa kupataa kad ya payoneer ambayo naweza kushusha mpunga from crdb, nbc na bank yoyote yenye master card service. Shukran zanguu nyingii kwa msaada wenu