Unabei kiasi gani kutafutie Paypal Master card inayopokea malipo?Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa..
website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa?
mkuu nivizuri nikajua kama izo master card zinaruhusiwa tz, sitakii kufanya ya madili alaf badae waisimamishe, plus ukiandikaa process za kuipataa nadhani itakuwa bora kwangu na jamii forum wengine, nilitengeneza paypal account kwa kufuata steps apa in 2012, so sambaza upendo na maarifa kaka
okay.. sikuizi vitu vya dili vingii kaka.. anyway jee nikaamua kumtumia mtuu izoo pesa then ye anitumie kwa western union si poa? nachoulizaa ni si tunaweza kumtumia mtu ela kutoka paypal, au na iyo tz tunabaniwaa?its risk but i know family or two wanaoweza kunisaidia kwa dizain iyo
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa.. website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa,?
Hebu nipe mchongo unaofanya mpaka ukapiga iyo $200 naweza fanya pia kujiongezea kipato, mcie napenda pesa hatari....please, funguka mkuuKaka nimefuatiliaa hii njiaa ndo bora na nafuu kwangu.. espc web nazotumia ni fiverr, odesk na elance ambao teyar wapo patner na pioneer... so much thenx, na cost zake ni chinii kulikoo paypal plus mastercard au visa haina maintanace fee.. only 5$ flat price ukitoa elaa na 1$ ukiwekaa (any amount)
Kuna kadi inaitwa pioneer VISA, jisajiri watakutumia kwa njia ya posts Kuja Tanzania Kisha ukishai activate una transfer PayPal money into it then ukienda kwa any VISA ATM kama CRDB, NMB au Barclay unatoa hard cash.
Mimi nnayo hiyo card hapa Dar. http://www.payoneer.com/
Mi nafanyaa cms za joomla na WordPress. . At middle quality I can say kwa 100$ per web.. so so far naweza fanyaa web mbili tuu kwa wikii. . Web nazotumiaa ni elance na fiverr.. freelander nilitry nkashindwaa lot of competition
Kaka nimefuatiliaa hii njiaa ndo bora na nafuu kwangu.. espc web nazotumia ni fiverr, odesk na elance ambao teyar wapo patner na pioneer... so much thenx, na cost zake ni chinii kulikoo paypal plus mastercard au visa haina maintanace fee.. only 5$ flat price ukitoa elaa na 1$ ukiwekaa (any amount)