Natumia simu ya Huawei Y560, naweza kupost
mada usika pale ninapotaka ku_Attach picha
labda nashindwa kuiweka japo naona neno
Attachment ila kufikia mwisho ina_fail.
Wajuzi nipeni utaalamu wenu.
Nawasilisha.
Asante.
Yeah, natumia hiyo.
Mkuu nashukuru ngoja nijaribu kwa mara ingine maana nilikuwa nayo but nilipobadiri memory card ikawa misbehave so let me try again.
Pole sana, wengine tunaitumiaga hiyo JF kwa ajili ya kucomment na kusoma tuu, kama mambo ya mapicha download App ya JF Play Store.
ALEYN; Ukiwa mdau alafu wewe unacomment tuuuu da naona kazi sana, sasa ukipata mada au picha unataka kushare na wadau inakuwaje kwako?
Mshana poa jombaa nimekusoma.
Kwa nini Mshana unasema wasomaji wengi but comment kiduuchu?
ALEYN; Ukiwa mdau alafu wewe unacomment tuuuu da naona kazi sana, sasa ukipata mada au picha unataka kushare na wadau inakuwaje kwako?
Not his interest...!!!
Wasomaji wengi sio member, na member wengine ni wavivu wa kuchangia chochote, sio hobby yao
Natumia simu ya Huawei Y560, naweza kupost mada husika pale ninapotaka ku-Attach picha labda nashindwa kuiweka japo naona neno Attachment ila kufikia mwisho ina-fail.
Wajuzi nipeni utaalamu wenu.
Nawasilisha.
Asante.
Ni simu mpya hii au? Sijawai kuisikia hii....