Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

MSHERWAMPAMBA

JF-Expert Member
May 22, 2014
342
0
Hiyo itatusaidia wengi humu maana sisi wengine hata namna ya kutoa link ya habari fulani tunapigwa chenga.M/Mpamba
 

janeth cute

Member
Nov 22, 2014
12
0
Aisee kumbe tumo wengi.....basi mwenye idea juu ya Kuattach document huku jf atujuze basi wajamiiforum@all
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,713
2,000
1) Click "Go Advanced"


2) Click "Manage Attachment"


3) Click "Browse" >> Select file >> Click "Upload" ,after upload, Click "Close window" Done, Post your comment/attached file
Msaada jamani.... Inawezekana Kuattach document jamii forum?.... kama Inawezekana naombeni msaada wenu!!!!!!
Hiyo itatusaidia wengi humu maana sisi wengine hata namna ya kutoa link ya habari fulani tunapigwa chenga.M/Mpamba
 

MSHERWAMPAMBA

JF-Expert Member
May 22, 2014
342
0
Ahsante sana mwana JF hili ni somo moja tosha sana kwa siku hizi mbili naona sasa nitakuwa mtaalam kabisa,instrucion yako iko clear sana ndio maana hapa kijiweni huwa ninapapenda sana kila fani ukihitaji msaada utaupata hapa kwa moyo mkunjufu na upendo,kumbukeni elimu haina mwisho marehemu mzee Julius Kambarage alituhusia.M/Mpamba.
 

mkubwa 21

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
442
195
Ok thanks.....nimepaona Ticha ila simu haiwezi fanya hiyo kitu?
Cha kufanya kwenye simu yako ukiwa jf home page, Scrow page up utaona neno touch, bas ukishatach utakuwa tayar kwenye desktop version na utenda uwanja wa msg na utaingia adavanced as mwl said... njia ya pili ni kuset browser yako iwe katika desktop vsion nenda Setting>network>>webpage preference>> then select desktop.. afu fuatisha maelezo ya mwl..
 
Last edited by a moderator:

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,364
2,000
1) Click "Go Advanced"


2) Click "Manage Attachment"


3) Click "Browse" >> Select file >> Click "Upload" ,after upload, Click "Close window" Done, Post your comment/attached file
Kweli wewe mwalimu! Bravo wengi tumenufaika! Let me try if at it works anyway!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom