orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,475
- 6,139
Wamasai hususani wanaume wako kila mkoa lakini mara nyingi wake zao hubaki nyumbani na wala huweziskia swala usaliti hata kama amesoma masai ni smart sana japo elimu zimekujakuwatoa kwenye tamaduni za asiliNao Wapo Vizuri Nilisahau tuu kuwataja, Kaka Yangu AmeOA Huko, Aiseee yule Dada ni Mvumilivu sana, Kuna kipindi kaka alitikisika kiuchumi Mpaka Amekuja kujipata Tena yule Dada Hakubadirika Aiseee.