Nitawapataje hawa?

Nitawapataje hawa?

Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??

MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.

VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!

MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!

UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!

ALL ROUNDERS: Father of All

Nitawapataje uso kwa uso?



Papito come this way...................... mwaaaaaaah! :A S-heart-2:
 
Mie ni kwa vile sikubahatika kuwemo kwenye list ya huyu jamaa incase ningekuwemo ni lazima ni lazima ningemtafuta huyu jamaa , yaani ana dalili zote za kuwa ukionana nae anagawa feza huyu!

wewe si ndio chit chatters memba uzuri kule raha tu huna hata stress..
 
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??

MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.

VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!

MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!

UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!

ALL ROUNDERS: Father of All

Nitawapataje uso kwa uso?

nahisi harufu ya yeboyebo leo kubukuzwa mkwakwani ili azamishe jahazi la mkia..
 
teh teh teh! kwa hio umechoka kudokoa unaona umshtue aliye lala?

habari ya watoto yote ipo kwa Kaunga na Elizabeth Dominic.

Nafurahi kukuona chit chat ukimaliza likizo ya uzazi kuna kamati ya kuwafunda wapenzi inakusubiri nikukabidhi rasmi
 
Last edited by a moderator:
Nafurahi kukuona chit chat ukimaliza likizo ya uzazi kuna kamati ya kuwafunda wapenzi inakusubiri nikukabidhi rasmi


mimi penda sana makitu hayo. hebu pangeni haraka likizo ya uzazi imeisha. teh teh
 
wote leo utawakuta kwenye siasa si unajua uchaguzi wa chama cha magamba na nyoka?
 
Mimi nilifikiri unabembeleza kibarua cha kuisaidia Simba kupata point yake moja kwa Toto Africa kwani siku za karibuni hata hiyo imekuwa ngumu kupatikana.

By the way, namtafuta Pazi jamani. Sio kwa heri, namsaka kwa shari hasa. Unajua basi letu limepigwa mawe jana asubuhi kule Kabuku mkoa wa Pwani tukiwa safarini kwenda kuchukua points zetu kwa Coastal Onion na Pazi haonekani hapa mjini

Tehteh Mkuu Masomo kidogo yalinibana siunajuwa Masomo ya Chini ya Muembe Dawati Jiwe basi tabu tupu endeleza tu uchokozi mie nasubiri mwisho wa Ligi.
 
Back
Top Bottom