Nitawapataje hawa?

Nitawapataje hawa?

Hivi King'asti ndio kijasti au ni watu wawili tofauti?

Karibu mimi napatikana zaidi MMU kuliko mtaani kwangu Buzebazeba, Kigoma Ujiji. Wewe unanifahamu vizuri kuliko Jirani wangu next door. LOL

Tupinge urafiki basi!
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe tehe, kijana naona unarusha mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo au unarusha mawe gizani linaweza kumpata hata mkweo.

Ona sasa umeniumbua, adhabu yako hupati mke/mume kama ni wa kiume na kinyume maana kozi niliyoenda kusomea ina ufitini ndani, na katika somo hilo nina A.

Andika maumivu mpaka ufute kauli yako au unitake radhi.

Ha ha haaaa,mkuu Mzee wa rula semester imeisha mara hii!! Kamua shule mzee urudi bongo dili ni nje nje kwa sasa.
 
Usiogope chalii yangu ipo siku Mungu akipenda tutaonana. Kama kawaida Simba chama kubwa, yaliyopo sasa ni upepo tu utapita.

Mkuu, hapa nitawaachia akina Anselm waje wakujibu wenyewe....maana!
 
Hawa huwezi kuwaona wapo mbali kwa sasa,BOFLO yupo busy kwa sasa anakatisha ticket treni la mwakyembe,BUJIBUJI hajulikani alipo anadaiwa na Finca, Mbuzi mzee kaenda Nigeria kutafuta dawa ya temeke,Mzee wa Rula yupo Chile kwa short course ya utapeli,Mzizi mkavu ndio hivo alinasa jana temeke,Preta kaolewa na babu wa loliondo na unajua kule network ni tabu kidogo,bigirita na wengine nikipata habari zao nitaendele kukupasha

Charger, kwa vijimaneno hivi vyako nimegundua kundi ambalo umo. Nimekuweka huko!
 
Urafiki wa Tisha-TOTO na Mzee wa Rula utashamiri kwa kasi siku ya leo. Simba wana hali ngumu kwa hiyo watamuhitaji sana Tisha-TOTO asaidie kuwatisha Toto Africa wawaachie point yao moja.

By the way Mzee wa Rula, kitendo cha kushambulia basi la Yanga kwa mawe kule kabuku si cha kiungwana. Mumemjeruhi Msuva na kuharibu basi letu, hivi kwa nini lakini?!!!

Tunajua mnalelewa 'Mogadishu' lkn kumbukeni mnaishi Tanzania, tushindane uwanjani sio Kabuku kwenye basi. Pazi simuoni jukwaa la SUPOTI yapata wiki sasa, bila shaka ni yeye anaratibu kutupiga majiwe, yule Mzaramo hana adabu kabisa

Hapa unataka kunifitinisha bure na akina Katavi, Masuke, Saint Ivuga, etc!
 
Hivi King'asti ndio kijasti au ni watu wawili tofauti?

Karibu mimi napatikana zaidi MMU kuliko mtaani kwangu Buzebazeba, Kigoma Ujiji. Wewe unanifahamu vizuri kuliko Jirani wangu next door. LOL

Tupinge urafiki basi!

Ntakutafuta punde. Kuhusu King'asti, tayari nimerekebisha. Anisamehe bure nilikuwa naliandika kimapozi zaidi, lol..
 
Hapa unataka kunifitinisha bure na akina Katavi, Masuke, Saint Ivuga, etc!

Mimi nilifikiri unabembeleza kibarua cha kuisaidia Simba kupata point yake moja kwa Toto Africa kwani siku za karibuni hata hiyo imekuwa ngumu kupatikana.

By the way, namtafuta Pazi jamani. Sio kwa heri, namsaka kwa shari hasa. Unajua basi letu limepigwa mawe jana asubuhi kule Kabuku mkoa wa Pwani tukiwa safarini kwenda kuchukua points zetu kwa Coastal Onion na Pazi haonekani hapa mjini
 
Last edited by a moderator:
Basi ngoja nimrushe asijisikie vibaya.
Ohaaa wanajamvi, nitampataje Mzito Kabwela, asiye katika kategori maalumu.



Mkuu asante kwa kunirusha ingawa sikuwa inerested. Mwanzoni uliweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa, sasa kule sisi hatujadili ishu za namna hii, so nilipoiona tu nikaona ni nonsense, na huo ndio ukweli. Sasa huku lilikohamishiwa ndio mahala pake na mimi siingii humu mara kwa mara kama niingiavyo jukwaa la siasa
 
Mie ni kwa vile sikubahatika kuwemo kwenye list ya huyu jamaa incase ningekuwemo ni lazima ni lazima ningemtafuta huyu jamaa , yaani ana dalili zote za kuwa ukionana nae anagawa feza huyu!
 
Back
Top Bottom