Nitawapataje hawa?

Nitawapataje hawa?

Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??

MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.

VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!

MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!

UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!

ALL ROUNDERS: Father of All

Nitawapataje uso kwa uso?

Check location yangu then find me...
 
Igwe na Kiranga...
Hawa jamaa nawakubali mwanzo mwisho, hawaburuzwi na Dini zilizoletwa na Meli...
 
Nani ameanzisha kampeni?
Mimi nafunguka ya moyoni, wewe unajistukia...

Kama unayoyaandika yametoka moyoni basi moyo wako hauna tofauti na wa Kenge...anayekimbia manyunyu ya mvua ili asilowane kisha anakimbilia kudumbukia Mtoni.
 
Haja kubwa ya mchanganyiko wa ugali-ng'onda halafu ukashushia na kangara ni chanzo kizuri cha bayogesi, sasa huwa yanachanganya utendaji wa mwili hasa ubongo.
Sasa em fanya ukakate gogo halafu utajisikia vizuri ndo urudi hapa...
 
Ndo maana nikakuuliza na wewe ni Great Thinker?
rudi Facebook mjomba, kule ndiko kuna wenye hadhi yako, huku mbali sana na ndio maana unapata tabu.
Acha kukurupuka na kupapatika.
 
Facebook nipo siku zote, halafu usipende kukariri misimamo ili ujibaraguze kwa wanaume wenzio.
Potezea hiyo, twende kule kwetu nikakupe updates za CECAFA Senior Challenge
#MtuMzimaAkivuliwaNguoHuchutama #
 
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??

MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.

VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!

MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!

UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!

ALL ROUNDERS: Father of All

Nitawapataje uso kwa uso?

lyamba lya mfipa wakujua weye? kesho njoo ukiwa na jogoo mweupe,sisimizi mwenye mimba na paka mwenye jicho moja.
 
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
Tisha-TOTO nipo kijana wangu! Majukumu tu yamekuwa mengi.

Unataka mapicha ya vimwana tena?
 
Last edited by a moderator:
huyu ndugu allien alikuwaga anatupa picha nzuri sana ila sasa naona yupo kimya sana, namsihi aanze kutupatia picha tena
 
Back
Top Bottom