Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,781 Reaction score 6,911 May 7, 2019 #1 Moja ya vitu ningependa kufanya ni kufuga aina mbalimbali za ndege. Kuanzia kasuku, dove na pigeon na hata wale wa Ikulu! Ningependa kujua wapi naweza kuwapata hawa viumbe....
Moja ya vitu ningependa kufanya ni kufuga aina mbalimbali za ndege. Kuanzia kasuku, dove na pigeon na hata wale wa Ikulu! Ningependa kujua wapi naweza kuwapata hawa viumbe....
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 7, 2019 #2 Upo mkoa gani??? Ukienda masokoni utapata njiwa weupe....hao wengine unsowataka jaribu kwenda kuomba mbegu pale magogoni
Upo mkoa gani??? Ukienda masokoni utapata njiwa weupe....hao wengine unsowataka jaribu kwenda kuomba mbegu pale magogoni
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,781 Reaction score 6,911 May 7, 2019 Thread starter #3 Qurie said: Upo mkoa gani??? Ukienda masokoni utapata njiwa weupe....hao wengine unsowataka jaribu kwenda kuomba mbegu pale magogoni Click to expand... Kumbe masokoni wanapatikana? Ngoja nifanye mchakato.... Unadhani magogoni wanaweza kunielewa 😎😨?
Qurie said: Upo mkoa gani??? Ukienda masokoni utapata njiwa weupe....hao wengine unsowataka jaribu kwenda kuomba mbegu pale magogoni Click to expand... Kumbe masokoni wanapatikana? Ngoja nifanye mchakato.... Unadhani magogoni wanaweza kunielewa 😎😨?
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,954 Reaction score 8,148 May 7, 2019 #4 Nenda maliasili utapata au watakuonesha njia
MNYWABUJU JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 260 Reaction score 327 May 7, 2019 #5 ndege john; njoo uku kuna mtu anataka umwambie mnapatikana wapi?
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 8, 2019 #6 Keynez said: Kumbe masokoni wanapatikana? Ngoja nifanye mchakato.... Unadhani magogoni wanaweza kunielewa [emoji41][emoji32]? Click to expand... Watakuelewa mkuu ila uwe na kadi ya chama kwanza
Keynez said: Kumbe masokoni wanapatikana? Ngoja nifanye mchakato.... Unadhani magogoni wanaweza kunielewa [emoji41][emoji32]? Click to expand... Watakuelewa mkuu ila uwe na kadi ya chama kwanza
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 8, 2019 #7 MNYWABUJU said: ndege john; njoo uku kuna mtu anataka umwambie mnapatikana wapi? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] huu uchokozi wa wazi wazi
MNYWABUJU said: ndege john; njoo uku kuna mtu anataka umwambie mnapatikana wapi? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] huu uchokozi wa wazi wazi
enterior desgner JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 366 Reaction score 181 May 24, 2019 #8 Ikulu ya mwaka huu au unaitamka hipi Keynez said: Moja ya vitu ningependa kufanya ni kufuga aina mbalimbali za ndege. Kuanzia kasuku, dove na pigeon na hata wale wa Ikulu! Ningependa kujua wapi naweza kuwapata hawa viumbe.... Click to expand...
Ikulu ya mwaka huu au unaitamka hipi Keynez said: Moja ya vitu ningependa kufanya ni kufuga aina mbalimbali za ndege. Kuanzia kasuku, dove na pigeon na hata wale wa Ikulu! Ningependa kujua wapi naweza kuwapata hawa viumbe.... Click to expand...
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,464 Reaction score 40,267 Aug 22, 2019 #9 Angalia usije kukamatwa kwa kuwa na nyara za serikali
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,781 Reaction score 6,911 Aug 22, 2019 Thread starter #10 joshua_ok said: Angalia usije kukamatwa kwa kuwa na nyara za serikali Click to expand... Nitawaambia nawasaidia kuwatunza.
joshua_ok said: Angalia usije kukamatwa kwa kuwa na nyara za serikali Click to expand... Nitawaambia nawasaidia kuwatunza.