Wasiliana na Pasco akupe jinsi alivyoingia mkenge wa hizi simu mitaa ya Mlimani City!...yeye alijua ukiwasha bluetooth na kuisendia kitu basi unaweza kujua ni og. ama la, lakini mbinu hiyo ndiyo iliyommaliza chapchap, akabaki anawayawaya!Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
Duh hiyo yako ni kali aisee, unataka kunipa madeni wewe, mmmmh!Ibamize chini ikipasuka tu ujue feki hiyo..:/
Ibamize chini ikipasuka tu ujue feki hiyo..:/
Mkuu,Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
Mmmhhhh:shocked:....mara nyingi huwa zinaandikwa "Designed by Apple in California ...Assembled in China" na SIO MADE IN CHINA.Iphone fake imeandikwa made in california usa, original ni made in china (a little confusion lakini original ni made in china)
angalia box lazima utakutana na wrong spelling, na kichina kichina kingi
nawashauri kama mnataka hizo simu original mnapata kwa bei nzuri sana pale Nairobi. At least from 500k za kitz. Mpya kabisa unafungua kwenye mabox mwenyewe.
Niulize kwa nini bei hiyo?