Yaani Preta, huyu ni useless, baseless, senseless, pointless!gud moning sa....ze topiki namba 5 iz seyingi kila kitu......jamaa mtanashati,aliyevaa shati sijui ndio anabalehe
kaka mtanashati.....leo na hii sredi yako.....mbona utakoma
huyu anatokea IlembulaBraza men wa kimara huyo bana!
Ahahahahaaah kwani wa Ilembula wako kama huyu?huyu anatokea Ilembula
Ahahahahaaah kwani wa Ilembula wako kama huyu?
Tehetehetehe akikusikia Mak....ba!aaah huyu wa bumbuli!
nipigie debe wanipe u mod, mleta sredi kama hii nitahakikisha napiga ban yeye na kijiji chake kizima kuingia JF. watu tuko serious yeye analeta mzaha bana! hii sredi imenipotezea mpaka apetaiti ya kukoga. aaargh!
Ah Cheusi Magala ...what a koinsidansinahisi una bahati ya kukutana na wale wanaitwa maharage ya mbeya maji mara moja!
Nenda kwenye maombi.
Inawezekana una pepo la ngono hujijui! Wala usijisifu!
Sifa za wapumbavu hizi!
Yaani Preta, huyu ni useless, baseless, senseless, pointless!
nina hamu nikuone... :redfaces::redfaces:
Ajuaye ni mimi,nimesoma huko enzi za mwalimu .Kuna bonde kwenye maporomoko ya bonde la ufa kulikuwa na simba simba wengi .wakati wa biashara ya waarabu watu wengi sana waliliwa na simba kwenye bonde lile,si unajua ezi hizo hakukuwa na nguo ila shanga tu kwenye nyeti,basi simba waliacha shanga tu kam authibitisho kuwa kuna mtu ameliwa! ndio maana wenyewe wakaita utiya (kukata)NSANGA(sHANGA) ili mkuezi eneo lililonipunguzia ujinga nimeejiita Utiyansanga ni jina langu la ukoo sasa,hata kazini najuilikana hivyo!utiyansanga......ni neno la kinyiramba, ajuaye atujuze maana yake