Nitasukuma walevi wangapi...!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
214
0
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!
 
NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,627

basi we ni mweupeeeee kama alivyosema fl1 na tabia mbaya wacha maramoja lol tena watangaza subhana llah,,,

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
1,250
-kupata kwako isiwe sababu ya kunyanyasa wenzio, mafanikio yako isiwe sababu ya kunivugia ndoa yangu, hakuna aliyekamilika duniani kwa Mungu...
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,297
1,250
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!

Sifa za wapumbavu hizi!
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,675
1,225
Sifa za wapumbavu hizi!

wapumbavu firstname na surname yake ni wazembe! middle name nikiiweka hapa nitakula ban, acha niuchune tu. niliwahi kushauri kwamba kuwe na ada ya kuanzisha sredi, hii free of chaji ndio inaleta mutation sredi kama hizi
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,925
2,000
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!
ukiukua uta acha .
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
kaka mtanashati.....leo na hii sredi yako.....mbona utakoma
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
sjui kwanini leo nimetamani kukusalimia kwa kiingreza, gud moning preta.

bek to ze topik: refer to my posti nambari tano

gud moning sa....ze topiki namba 5 iz seyingi kila kitu......jamaa mtanashati,aliyevaa shati sijui ndio anabalehe
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,675
1,225
gud moning sa....ze topiki namba 5 iz seyingi kila kitu......jamaa mtanashati,aliyevaa shati sijui ndio anabalehe
nipigie debe wanipe u mod, mleta sredi kama hii nitahakikisha napiga ban yeye na kijiji chake kizima kuingia JF. watu tuko serious yeye analeta mzaha bana! hii sredi imenipotezea mpaka apetaiti ya kukoga. aaargh!
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
nipigie debe wanipe u mod, mleta sredi kama hii nitahakikisha napiga ban yeye na kijiji chake kizima kuingia JF. watu tuko serious yeye analeta mzaha bana! hii sredi imenipotezea mpaka apetaiti ya kukoga. aaargh!

dah....nazani maxence atakukonsida.....naomba ukakoge tafazali....ukirudi utakuta mambo yapo swafi
 
Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,277
1,225
nina hamu nikuone... :redfaces::redfaces:

Heeh, we humwogopi jamaa? keshasema wanawake huwa wanamzimia hovyo hovyo tu, hata wake za watu, sasa dada 'ngu kuwa makini unaweza ukanasa pia.

By the way, nina mashaka mengi sana na huyo mleta mada, inawezekana ni mmoja kati ya vijana wa under 18 waliojiunga JF recently. Sasa uchaguzi umeisha hawana vitu vya kupost, na huu ni mwanzo tu, mods wasipo kuwa makini tutashuhudia upupu mwingi zaidi ya huu.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
55,451
2,000
Tatizo unawapata haraka wanawake wa aina gani ? Usije kujitambia watu wenye low self esteem na wenye matatizo katika ndoa zao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom