Nitasukuma walevi wangapi...!

nipigie debe wanipe u mod, mleta sredi kama hii nitahakikisha napiga ban yeye na kijiji chake kizima kuingia JF. watu tuko serious yeye analeta mzaha bana! hii sredi imenipotezea mpaka apetaiti ya kukoga. aaargh!

Mh klrokwin bwana ...jina lako lasadifu wasifu wako,hivi mwenzio nauliza nieleweshwe wewe wagomba ,kwani hapa si uwanja wa mapenzi !mwenzio nina tatizo hilo wewe unawaka acha wenzio wajadili mada , hili ni mada ya kisaikolojia,kama wewe ulisomea tabia za minyoo na vyura wapishe wenye taalima yao
 
nahisi una bahati ya kukutana na wale wanaitwa maharage ya mbeya maji mara moja!
Ah Cheusi Magala ...what a koinsidansi
kukutana na maharage ya Mbeya tu ni mkosi gani huu,hii nayo nai mada ngumu,ahsante na nadharia yako,nitakutafuta tujadil
 
Nenda kwenye maombi.
Inawezekana una pepo la ngono hujijui! Wala usijisifu!

Mh kwenye maombi,!! mwenzio nimefundishwa kuwa kila mtu anauweza wa kumwomba mungu akajibu ,naomba sana ipo siku mungu atanisikia!Sina sababu ya kwenda kwa wafanyabiashara wa injili.
 
Yaani Preta, huyu ni useless, baseless, senseless, pointless!

He forum ya ma-nthiker hii kweli !? mtu anawasilisha mada ya kijamii anaitwa ....! hii nzuri sana , kasome thread za wanaotafuta mashugamami na viagra!
 
utiyansanga......ni neno la kinyiramba, ajuaye atujuze maana yake
Ajuaye ni mimi,nimesoma huko enzi za mwalimu .Kuna bonde kwenye maporomoko ya bonde la ufa kulikuwa na simba simba wengi .wakati wa biashara ya waarabu watu wengi sana waliliwa na simba kwenye bonde lile,si unajua ezi hizo hakukuwa na nguo ila shanga tu kwenye nyeti,basi simba waliacha shanga tu kam authibitisho kuwa kuna mtu ameliwa! ndio maana wenyewe wakaita utiya (kukata)NSANGA(sHANGA) ili mkuezi eneo lililonipunguzia ujinga nimeejiita Utiyansanga ni jina langu la ukoo sasa,hata kazini najuilikana hivyo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom