Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Kwenye list ya wanachama wa chadema wewe haupo, hata kwenye list ya wale wanaoiunga chadema wewe haupo, kama ni kurudisha kadi rudisha ile kadi ya chadema uliyopewa na ccm.
Kama kweli wewe mwanachadema unatakiwa ufukuzwe hata kabla ya kuirudisha hiyo kadi ya chadema uliyopewa na Nape
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kama kweli wewe mwanachadema unatakiwa ufukuzwe hata kabla ya kuirudisha hiyo kadi ya chadema uliyopewa na Nape
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums