acha shombo.nipo zanzibar nawaona wakenya wanavyofurahia maisha ya hapa utadhani wapo canada!Mtanganyika anafurahi zaidi kufika Kenya kuliko kufika London. Smh
Nasikia jamaa alikamatwa kwa kuandika huu uongo.Huu uzi unaendelea ama?
Umeachiwa lini asee..?
Mkuu bado unahitaji mahindi?Una mahindi? Mimi nipo kwenye mchakato wa kusajili kampuni Kenya itakayohusika na biashara ya nafaka kama una dili tutaongea
1Mkuu bado unahitaji mahindi?
Mkuu kwenye ile story yako si ulisema ulienda Kenya wakati ulipokuwa na biashara yako ya hela feki Leo hii inasema hujawahi kufika kenya


