Marangu ni poa sanaKaribu tena na tena, sote ni Watanzania.
Karibu tena na tena, sote ni Watanzania.
madem wa kimachame wapo?
Aisee nitarudi tena ninywe na damu ya Ng'ombe iliyochanganywa na nyama.Inaitwaje tena ile?
Machame na Marangu ni mbali mno... Machame ni kama Chalinze na Marangu ni kama Mwenge....
Kisusio....
Machame na Marangu ni mbali mno... Machame ni kama Chalinze na Marangu ni kama Mwenge....
kichuri
Aisee nitarudi tena ninywe na damu ya Ng'ombe iliyochanganywa na nyama.Inaitwaje tena ile?
Karibu Mkuu Marangu...Mimi ni mwenyeji kule Sembeti....Ukifika hapo Marangu Mtoni unakunja kushoto unakutana na Sembeti......
Kisusio, Next time ukifika maeneo ya Marangu Hotel nitafute nikuonjeshe Kiburu, Kitawa, Machalari, Shiro, Ng'ande, Mtori, Ndafu na Ngararimo.
Hapo hata mimi palinichanganya kidogo.Mi nilijua ni karibukaribu.