Nitarudi tena kilwa Kivinje

Nitarudi tena kilwa Kivinje

kitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni mboga......nilivyouliza na kujibiwa kuwa kuna mboga ya mrongi, nikaona ngoja nijaribu. yaliyonikuta ndo hayo, lazima nirudi tena kule, wallah!!!!

nyongeza:
jirani na Upendo guest house nilipofikia, kuna gues moja ndogo hv.....kuna kina dada hapo muda wote wanapiga story, nilipomhoji mhudumu, ambaye pia ni wa kike, alijibu kuwa hao ni wanunuzi tu wa samaki kutoka kusini na wanapenda kufikia pale sababu ni rahisi sana hivyo wanaweza kukaa siku nyingi wanazohitaji kwa ajili ya kufuatilia na kusubiria mzigo! sijui amenidanganya yule?!!!!!

ndo hivyo jamani......nimetokea kukupenda kilwa kivinje!
siyo mrongi ni mlonge...pambaf
 
Ndo kwetu huko
 
Back
Top Bottom