Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,028
pamoja!!!!
bila shaka kiongozi!
Sisi uku mronge kuanzi majana, mbegu, mzizi ni dawani mboga inayotoka ktk miti flani hivi ambayo maeneo mengi tunaitumia kama mapambo (maua) tu. zaidi zinasikika mbegu zake tu kuwa ni dawa.....malaria n.k. majani yake kumbe kule kilwa ni mboga.....kiukweli, kwangu mimi, inanukia vzr na ina ladha maridhawa kabisa. ilitiwa nazi!
ni kweli, ni dawa maarufu tu na ya uhakika maeneo mengi, lakini maeneo mengine kma huko kilwa ni mboga pia. iko poa sana!Sisi uku mronge kuanzi majana, mbegu, mzizi ni dawa
hapana, ni mapishi ndugu!Mkuu siyo utarudi kwaajili ya wale ulioambiwa ni wanunuzi wa samaki?
Sawa mkuuhapana, ni mapishi ndugu!
Dah ni kama yale yanaitwa mchunga sjui tanga wanazielewa zaidi, kwetu ni makitu flani machunguuuu yantumika km chakula cha sungura ila kwa wenzetu ni mbogani kweli
ni kweli, ni dawa maarufu tu na ya uhakika maeneo mengi, lakini maeneo mengine kma huko kilwa ni mboga pia. iko poa sana!
Wachagga huita mnafu majani ya sungura.Dah ni kama yale yanaitwa mchunga sjui tanga wanazielewa zaidi, kwetu ni makitu flani machunguuuu yantumika km chakula cha sungura ila kwa wenzetu ni mboga
Achana na ile mnafu,kunayo mengine machungu aloevera inasubiriWachagga huita mnafu majani ya sungura.
Ipi hiyo tena?Achana na ile mnafu,kunayo mengine machungu aloevera inasubiri
Ipi hiyo tena?
Hii ni dawa madame, sio mboga 🤣 🤣 🤣
Ayayayaaaa wanazikula wataalamu, na sjawai kujua kama ni dawa najua ni chakula ya sungura.....inatumikaje na inatibu niniHii ni dawa madame, sio mboga 🤣 🤣 🤣