Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital. Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu. Nitarudi tena KCMC Hospital.
Mgonjwa Wako anaendeleaje?

Omba urudi wewe ukiwa ndiyo mgonjwa ili ulazwe kabisa maana nadhani ndiyo utaweza kuwafaidi kwa muda mrefuWasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital. Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu. Nitarudi tena KCMC Hospital.
Lini unategemea kurudi?