Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
......1. angalia sana chakula unachokula - kiwe mchemsho - bila kuweka mafuta hata chembe
2. acha kula kuku wa kisasa na mayai yake - kula wa kienyeji tu -
3. acha kutumia bluebank/butter etc.
4. kula toasted bread au brown bread tu
5. kula matunda na mboga za majani kwa wingi kuliko vyakula vya starch e.g wali, ugali mweupe, chapati, tambi etc.
6. mafuta ya kupikia tumia "olive oil" tu - ni expensive ila ndiyo yanafaa
7. usile sukari kabisa
8. usinywe soda aina yoyote - labda soda waters tu
9. tumia juice (fresh isiyoongezwa sukari)
10. kunywa maji ya kutosha
After two weeks - utapendeza, ngozi laini, mafuta yameyeyuka yote.
All the best
hahahaaaaaaaaa, wewe binamu shemeji una vijaimambo!!.
unamaanisha Mh. JK??
hehehehe,Halafu wewe ni lazima unafanana na yule mbunge.teh teh,hii Thread inakuhusuJK ni raisi mkuu!
Hapana wala mimi si mvivu na kabla sijaumia nilikuwa nakimbia kila asubuhi. Ila baada ya kuvunjika tu nikaanza kuongezeka uzito. Tangu nivunjike L-ankle nimeshindwa kabisa kukimbia. labda kama walivyoshauri wakuu wengine, nitajaribu kurekebisha makulaji. Bia situmii ila konyagi ndo inapanda. Nashukuru kwa ushauri.hahahaaaaaaa binamu shemeji umeniacha hoi sana!.
all in all jamani madawa hayaaminiki, na kuna watu wanapesa mingi sana wanatamani kuwa wembamba wameshakula madawa hadi wamedata, njia rahisi ni MAZOEZI tu.
na wasiwasi na mtoa mada anaposema kwamba mguu mbovu!, huyu tayari ameshajua dawa ni kukimbia/kufanya mazoezi ila ni MVIVU tu anataka njia mbadala, CHEAP IS EXPENSIVE jamani.
mnhh, hapa itabidi ututake radhi.......
11.Acha kunywa bia au alcohol yoyote.
there you are talking!!.JK wa ToTPLUS
- kunywa maji ya moto (sio sana ya kawaida) Nusu lita au lita moja kila siku asubuhi kabla hujaswaka.Wakuu,
Naomba nisaidiwe. Mimi kimaumbile ni mnene na mzito. Siwezi kufanya mazoezi kwa sababu bado naugulia maumivu yaliyotokana na kuvunjika mguu. Siwezi kabisa kukimbia. Nitumie njia gani ili niweze kupungua uzito na unene huu?
Kama kuna anayefahamu siri ya kupungua kwa uzito kwa mwanamitindo Mustafa Hassanali tafadhali aniambie.
Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaokuwa serious kunisaidia.
punguza kula, kama huwezi kufanya mazoezi kaa sehem za joto utoke jasho (usisahau kuoga baada ya jasho), kunywa maji mengi asubuhi baada kupiga mswaki, kula tembe moja ya kitunguu saumu kila siku (tembe moja tu sio kitunguu kizima), kama una cheo serikalini jiuzulu, acha tabia ya kulala lala sana na kucheka cheka bila sababu.
pia kuna njia nyengine ya mkato lakini hii sikushauri, ukiowa mwanamke kicheche, ndani ya wiki mbili utakuwa mwembamba kama simu ya motorola L6 (saidi ifekti ni marazi ya moyo lakini rezalti garantii)
punguza kula, kama huwezi kufanya mazoezi kaa sehem za joto utoke jasho (usisahau kuoga baada ya jasho), kunywa maji mengi asubuhi baada kupiga mswaki, kula tembe moja ya kitunguu saumu kila siku (tembe moja tu sio kitunguu kizima), kama una cheo serikalini jiuzulu, acha tabia ya kulala lala sana na kucheka cheka bila sababu.
pia kuna njia nyengine ya mkato lakini hii sikushauri, ukiowa mwanamke kicheche, ndani ya wiki mbili utakuwa mwembamba kama simu ya motorola L6 (saidi ifekti ni marazi ya moyo lakini rezalti garantii)
USILE CHAKULA.
KAMA wale watu wa Ethiopia na Somalia wangekuwa wanakula wasingekonda vile.
The only way kupunguwa USILE KUNYWA MAJI TU MPAKA UPUNGUWE
Kazi kwako.
Mimi sio Hassanali, ila unaweza kupungua uzito kwa kupiga mabao 3 kila baada ya siku moja,Jamani Mustapha Hassanali tupe siri ya kupunguza unene kwa asiye fanya mazoezi