Nitapata wapi viagra ini boost?

-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!

Huyu anapiga vya kuku.
Mimi napiga kamoja au viwili vya nguvu, demu anaenda mara 3 mpaka sita. Na hapo hataki tena mpaka ka kuamkia kamoja ka asubuhi.
 
Hiyo kero iliopo kichwani mwako ndio tatizo na sio kwamba unhitaji hayo makitu
Tulizana kimawazo kwa mkeo utarudisha kiwango chako kilekile
 
Mwambie mkeo aache kutumia viagra za kike(hehehehe. Najua hazipo) magoli matatu bado anakuletea ugomvi? Itakuwa alizoea migegedo mingi kabla hujamuoa.
Nmemuonyesha dira mwenyewe
Sema lingine mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu waweza kufanya yafuatayo kwa umakini kabisa google "tips to maintain lubido and firm erections" pamoja na "tips to increase sperm count"
 
Fanya mazoezi halafu kunywa juice ya water melon!
 
pole sana...............:help:
 

Kaka usije ukajaribu ukala viagra mwanamke ni1tu anahamutena just niPm nikuelekeze
 
Huyu anapiga vya kuku.
Mimi napiga kamoja au viwili vya nguvu, demu anaenda mara 3 mpaka sita. Na hapo hataki tena mpaka ka kuamkia kamoja ka asubuhi.
acha promo kwenye thread yangu,next time nakuchaji
 

nenda supermarket utapata viagra
 
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!

Jamaa anarukia tu ka baiskeli, ndo maana. Coz ukifuata principles kwamba mwanamke anahitaji romance ya not less than dakika 45 hufiki hiyo idadi.

Imagine mmelala saa 3 usiku, time for romance, show yenyewe, time to relax after orgasm, mkaoge pamoja, then muanze round nyingine!

Mleta uzi anahitaji kufunzwa malavi davi vinginevyo hamtendei haki mwenza wake......! So kabla ya kutafuta viagra, amwulize mpenzi wake kama alishawahi kufikishwa na hizo shoti 5 per night.

Per night, viwili tu vya uhakika vinatosha, mabinti hebu leteni ushahidi kama nadanganya.
 
Huyu anapiga vya kuku.
Mimi napiga kamoja au viwili vya nguvu, demu anaenda mara 3 mpaka sita. Na hapo hataki tena mpaka ka kuamkia kamoja ka asubuhi.
-Safi kabisa, nina wasi wasi huyu jamaa anajikojolea kojolea hovyo tu! Anaishia kumchafua mkewe tu! Hana utaratibu mzuri kama huu wako, na mimi!
 
Jaribu uwanja wa ugenini kujihakiki kama msonobari wako umeshuka daraja kabla hujaanza kutumia viagra,huenda tatizo si wewe.
 

Anzisha thread yako bro-usitake kupata promo kwenye uzi wa mwenzako,unajifanya hodari kwa mapenzi mbona wanakugongea mtaani kwenu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…