Nitapata wapi viagra ini boost?

Kama unaweza kufikisha raundi 3 basi wewe huhitaji viagra kwa sababu hata hizo raundi 3 ni nyingi kwa mapenzi ya kisasa. Achana na mapenzi hayo ya kizamani ambapo mwanaume kuonekana ngunguri alihesabu raundi kuanzia 5 na kuendelea. Mapenzi ya kisasa hata raundi moja inatosha cha msingi ni uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni mara kadhaa ndo kigezo cha umahiri wa mwanaume. Mimi mwenyewe ni mfano kwani katika raundi moja tu huwa namudu mechi kwa dakika 45 hadi saa moja na mwanamke kumfikisha kileleni zaidi ya mara 8. Ipi mechi nzuri, ile ya kukuruka raundi 5 bila kumfikisha kileleni mwanamke ama kukuruka raundi moja tu na mwanamke akafika kileleni mara kumi baada ya hapo anakupa 'ASANTE SANA' HALAFU analala kama mzoga kwa maana kuwa hana hamu tena.........naomba jibu
 
ha ha ha 25yrs,mkuu usishangae mazoea hujenga tabia si unajua mbwa ukiwa unamlea nyama kila siku,siku ukileta dagaa hali?


kwa umri huo wa miaka 25 ukianza kutafuta kuboost kwa vitu vitu , basi ukifikisha 35 utakuwa hamna kitu hata ukitumia hizo booster na kipindi hicho ninakimbilia miaka 50 halafu unanikuta kidingi nampinda mkeo nakuhakikishia utalia machozi ya damu mkuu............
 
Umecheza mpira wa madaso wewe?

Sijui 'madaso' ni nini, ila nimeshachezea mpira uliotengenezwa kwa utomvu wa mti wa mpira. By the way, wakati nilioutaja kuwa nilikuwa mtoto ni miaka ya mwanzo ya 1960.
 
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda


mkuu ile ikidondokea kwenye ngozi au jicho huuma na kuwasha hatari sembuse kwenye dushelele............

unataka kukill mtu kwa fedheha mkuu....
 
Mwambie mkeo aache kutumia viagra za kike(hehehehe. Najua hazipo) magoli matatu bado anakuletea ugomvi? Itakuwa alizoea migegedo mingi kabla hujamuoa.


hapo red , zipo za kichina mkuu........na kuna ya kienyeji inaitwa kungu.
 
Ungekuwa unapiga hata hzo 3 usingehitaji viagra!! Wengine mbili tu anachoka hoi sasa wewe hzo 5 ni za kuku?
 
Dawa za jamii ya Viagra siku hizi zinapatikana mpaka kwenye viduka vya dawa vichochoroni. Bei ni shilingi 2,000 kwa kidonge cha 50mg na shilingi 3,000 kwa 100mg. Na kwa jinsi mambo yanavyoenda Bongo, huna haja ya kuwa na prescription.
 

For promotional use only

cc: JF Marketer
 
Last edited by a moderator:
Kila baada ya bao mbili fanya hivi,tahadhari usizidishe dozi!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375182880029.jpg
    18.1 KB · Views: 145
Chungu lakini ndio dawa yenyewe sasa, kama hutaki basi baki na migonjwa yako ya ki menopause


mimi sihitaji chochote kwenye hayo mamboa zaidi ya Brain yangu na Mbo.o yangu mkuu.............. hayo mengine ni mbwembwe tu.........
 
ndugu utapandisha mashetani, minyaa upakaze kwenye gobore, kama umekulia mjini hii kitu hauwezi kuijua inavyofanya kazi ila tuliokulia kijijini mtoto lazima ucheze na minyaa
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda
 
Kwa kujikumbusha hebu soma kidogo hiyo habari hapo chini!
 
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!
Sio kila ukishindwacho wewe wenzio hatuwezi,wengine sie tumekulia kwa babu-hatukua tunalishwa nyama na mayai ya kuku wa kiwandani!!-hii inawezekana kama unabisha muulize bujibuji


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…