Nitapata wapi PIN ya kuniwezesha kuadd new channels on dish(Eurostar)

The_Emperor

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
871
125
Wadau naomba mnisaidie PIN za kuniwezesha kuadd new channels on Eurostar dish coz nimekua nikipoteza hela bure kwa kuwaleta mafundi!
 
Kama nitakuwa nimemuelewa vizuri, huwa kuna namba flani unazipress kuna channel inakuja..mf mi natumia Gulf Star huwa kuna kipindi channel e huwa inapotea..kuirudisha unapress 'menu' then unapress #5725 inarudi...nadhani hz namba jamaa anaziita PIN
 
Strong Recievers PIN yake ni 0000.Next tym Ukihitaji default PIN jizoeshe kusoma manual labda kama RECIEVER ya wizi!!! Kwaheri...:A S-key:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom