Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,657
Mpendwa unaniacha nakunywa chai isiyo na sukari? Si haki.
Mpendwa unaniacha nakunywa chai isiyo na sukari? Si haki.
Hali zenu.
Nitapata wapi Mtaalam wa
(Fear of Public Speaking)
( Fear of People)
(Fear of unknown)
(Fear of eye Contact)
Pls kwa yoyote anaejua nitampata wapi mtaalam wa mambo hayo usisite kuniarifu awe Katika Jiji la Arusha
Asanteni.