Huwa kuna mtu anampelekeaga bi mkubwa kule home kwa oda nadhani.
Ngoja niulizie contacts zake kama ntaweza zipata. But huwe unapatikana Dar.
Nenda namangama katika maduka uliza Isomil ipo namba 1-3 inategemea na umri wa mtoto wako, ila yana bei kidogo kopo kubwa gram 100 ni laki moja dogo gram 400 elfu hamsini
+255 682 620 686Nitashukuru kamanda
Nipo Dar
anyways, sipendi tena bidhaa za soya;
shangazi yangu alikuwa anatengeneza maziwa ya soya
alishakuwa mjasiriamali mahiri sana kwa hii bidhaa;
Ni ajabu alikufa kwa kansa ya utumbo; na mwaka uliofuata mume
wake naye akafa kwa kansa ya utumbo;
I hate soya products; japo nilikuwa natengeneza unga wa soya kwa ajili ya watoto
niliacha kabisa;
Acheni kuwapa watoto wenu products za soya, <ISipotengenezwa/ kuandaliwa vizuri ni sumu.
MziziMkavu sema kidogo hapa.
chochote kitakacho tengenezwa au kuandaliwa vibaya chaweza kua sumu sio bidhaa za soya pekee, vip wanao ulienda kuwachek afya zao kabla ya kuhailisha zoez la kutengeneza...?