Nitapata wapi malighafi hizi Jijini Mwanza?

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
242
Reaction score
90
Wanajanvi natumaini mu-wazima wa afya lakini pia pole nyingi ziende kwa wale wanaojisikia vibaya
Kama kichwa cha uzi hapo juu, Natafta malighafi zifuatazo nitazipata sehemu gani kwa mwanza au kama kuna mtu anajihusisha na hivi vitu naomba tuwasiliane au uweke hapa kwa faida ya wengine pia.
Na ikiwezekana uweke na bei ya kila kimoja mfano kilo au lita
1. Magadi soda
2. Mafuta ya mawese
3. Mafuta ya mosa
4. Glyceline
5. Rangi ya kijani
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magadi soda au caustic soda mkuu?
 
Unataka kutengeneza sabuni mkuu?...lakini kama unamtaji wakutosha mimi naona ni bora ungefunga safari kama nikigoma au mkoa unazalisha kwenda kutafuta hayo mawese, na product zingine
 
Nenda SIDO utazipata.

Ni wazo zuri
Ila ninataka pa kuanzia kwanza
Sababu unaweza ukachoma nauli kumbe zpo karibu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom