Nitapata wapi mabati ya mgongo mpana

by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
839
215
Naombeni msaada mabati orginal ya ALAF mgongo mpana yanauzwa shiling ngapi kwa mita.
 
Usiangaike kiongozi pita pale kiwandani ALAF Shida yako itakuwa imekwisha...wapo Nyerere Road ukiwa unatoka Mjini kabla Ujafika Tazara baada ya kupita Kiwanda cha Sigara kuna njia inaingia mkono wa kushoto ingia hapo mbele utaona bango la ALAF..Fika hapo uwasirishe shida yako mkuu
 
Asante mkuu nitapita kesho mapema nilpita buguruni mabati ya mchina yamejaa sana full uchakachuaji serikali ipo imelala watu wanauziwa fake
 
Pia jaribu kwenda MM Steel Mills jirani na ITV nao wana mabati mapana, Sh 11,780 kwa mita
 
haha unanikumbusha jamaa yangu mmoja aliniambia ayo mabati ya kuezekea makanisa!!!!!!!lol

kama niyakuezekea makanisa yeye ametoa ufadhili kwa makanisa mangapi,man jicheck ucjeshidwa kumove on kwa kupiga story ambazo azitakusaidi in yo life,huyo msela amejenga na wazaz wake vpi wananyumba.acha mambo ya ajabu usiwe ka mang'aa man jf c kijiwe cha porojo na kuvunjana moyo.
 
Ulizia kampuni inayoitwa NABAKI AFRIKA UKO MBEZI BEACH, NASKIA WANAUZA BEI NZURI

asante mkuu pale wanauza mabati ya vigae vya msauz bei zao sio mbaya,ila ukitaka kujenga swimming pool NABAKI ndo wanaongoza kwa kussuply vifaa vya hyo kitu kwa TZ
 
Back
Top Bottom