Nitapata wapi hivi vifaa?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,338
Wakuu nipo moshi mjini hapa hivi vifaa nimetafuta moshi nimekosa nimetuma mtu kariakoo kavikosa nitavipataje

PCB HAND
SOLDERING MESH
SOLDER PASTE
 
Wakuu nipo moshi mjini hapa hivi vifaa nimetafuta moshi nimekosa nimetuma mtu kariakoo kavikosa nitavipataje

PCB HAND
SOLDERING MESH
SOLDER PASTEView attachment 1695013View attachment 1695014View attachment 1695015
Kariakoo hizo bidhaa zipo kwa baadhi ya maduka, solder paste kuna duka la mhindi lipo mnazi mmoja ndipo nafahamu. Kwa urahisi wa kupata bidhaa hizo ni bora ukaagiza AliExpress.

Mara ya mwisho nimetembea sana kuja kupata hiyo solder mesh kama baada ya masaa 3. Kuna wengine hata hawazijui na ni wafanyabiashara wa elektroniki upande wa simu.

Kama utaagiza AliExpress kuanzia tarehe 8 hadi 20 mwezi huu wachina wana sikukuu kwahiyo hawatumi mizigo ndani ya muda huo.
 
Yaani ukienda kizembe utauziwa solder FLUX badala ya Solder PASTE. Hii solder paste ambayo ni nyeusi kama hiyo kwenye picha bora kuagiza online naona hapa TZ ni adimu.

Kuhusu solder Wick, zipo sana lakini pia nyingi ni feki, hazina ufanisi tena zingine hazifanyi chochote na zingine zinahitaji kupakwa Solder flux ndio zifanye kazi. Angalia kwenye maduka yenye reputation nzuri na sio kila duka. Huwa solder wick nzuri sio chini ya sh 6,000 kwa urefu kama wa 1.5Meter
 
mku

Mkuu sina uzoefu wa kununua bidhaa online. Ningepata kwa bongo hapa ningeshukuru huyo Mhind duka lake linaitwaje
 
mku



Mkuu sina uzoefu wa kununua bidhaa online. Ningepata kwa bongo hapa ningeshukuru huyo Mhind duka lake linaitwaje
Kununua online sikuhz ni simple sana. Una tengeneza tu Mpesa Mastercard. Kule aliexpress unaweka address (kwa urahisi weka tu dar es salaam, posta). Unaagiza bidhaa zako zikifika app inakuambia kwamba bidhaa yako imefika TZ. Itakuambia ukachukue posta. Uaenda posta na tracking number wanakupa mzigo wako. Na vitu vya bei ndogo hvyo haulipi kodi.

Ila ni kweli kma unaweza kuvipata huko mnazi mmoja au kkoo nunua tu ila ukikosa huko usiwe na hofu ya kuagiza nje. Hata mzigo usipofika unarudishiwa hela yako.View attachment 1696471

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T
Team Pixel. Made By Google
 
kwa mimi niliyeko mkoani inakuaj kuhusu posta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…