Nitapata wapi hii calculator

Nitapata wapi hii calculator

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hello guys nmekuwa nikusumbuka sana kusolve hili swali kwa calculator https://www.jamiiforums.com/threads/zawadi-ipo-kwa-ataeweza-hili-swali.1322664/page-3#post-23574378 Hatimae nililisolve bila shida kwa kutumia emulator ya Casio fx570vn plus.

JE NITAPATA WAPI CALCULATOR HII YA Casio fx570vn plus
CALCU.PNG
 
Zipo ,kama unataka used utaipata.....
 
unaweza kujaribu masumin printways and stationary wako mtaa wa jamhuri.
 
umenikumbusha mbali sana, kipindi cha BAM, hizo zinasolve almost paper nzima ya BAM, na zina memory ya kuhifadhi formula. si rahisi kuzikuta maduka official, na nafkiri pia si lazima iwe exactly model hio, utazipata kwa machinga na wauza vitabu wale wanaopanga used used, cheki mjini morogoro road na bibi titi kama unaenda mjini ukikaribia na kituo cha mwendokasi mkono wa kulia kuna jamaa wanauza vitu used pale hata ukikosa watakuelekeza pa kuipata.
 
IMG_00001005.jpg
IMG_00001005.jpg
Kuna moja ninayo hapa ngoja niicheki na niipige picha tuone kama itakufaa nikupe hata bure! Minutes please
 
hiyo kitu enzi hizo tulikuwa tunakatazwa kuingia nazo kwenye mtihani, yani wanakagua kabisa kuhakikisha wote tuna calculator za function ngapi ile sijui ni 991 nishaanza kuisahau, .... Maana hizo nyingine zinachora mpaka graphs , kila hesabu ni kufeed tu kitu kinatoa majibu
 
mi huwa naziangalia kioo, kwa udogo wa hio display kuna uwezekano mkubwa sio,

pitia thread yake aliyolink kuna swali jaribu kulisolve,
Poa Poa mkuu!! Nilidhani ni kama hiyo nimpatie maana hapa imekaa bure tu!
 
umenikumbusha mbali sana, kipindi cha BAM, hizo zinasolve almost paper nzima ya BAM, na zina memory ya kuhifadhi formula. si rahisi kuzikuta maduka official, na nafkiri pia si lazima iwe exactly model hio, utazipata kwa machinga na wauza vitabu wale wanaopanga used used, cheki mjini morogoro road na bibi titi kama unaenda mjini ukikaribia na kituo cha mwendokasi mkono wa kulia kuna jamaa wanauza vitu used pale hata ukikosa watakuelekeza pa kuipata.
Kati ya hizo na zile za Casio f(x) 991 zipi nzuri zaidi ?
 
hizo ni nzuri mkuu zenye kioo kikubwa, sema inabidi uwe bright kidogo kuzielewa, ni ngumu kujifunza kuzitumia compare na za kawaida na pia haziruhusiwi chumba cha mtihani kama maelekezo yatatolewa.
 
Sijakuelewa. Unamaanisha alizoleta mleta mada ndizo nzuri zaidi
 
umenikumbusha mbali sana, kipindi cha BAM, hizo zinasolve almost paper nzima ya BAM, na zina memory ya kuhifadhi formula. si rahisi kuzikuta maduka official, na nafkiri pia si lazima iwe exactly model hio, utazipata kwa machinga na wauza vitabu wale wanaopanga used used, cheki mjini morogoro road na bibi titi kama unaenda mjini ukikaribia na kituo cha mwendokasi mkono wa kulia kuna jamaa wanauza vitu used pale hata ukikosa watakuelekeza pa kuipata.

Hii sidhani kama itakubalika kwenye chumba cha mtihani. Kama anataka kwa ajili ya skuli atafute zile za kawaida (fx991)
 
Back
Top Bottom