Nitapata wapi "HABATSAUDA"

Nitapata wapi "HABATSAUDA"

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Wanabody kwa mwenye kujua inapopatikana na bei anijulishe nimeitafuta sana sijapata

Ahsanteni
 
Wanabody kwa mwenye kujua inapopatikana na bei anijulishe nimeitafuta sana sijapata

Ahsanteni
Ipo Tele Iwapo Upo Dar es salaam
Nenda Kariakoo Pale Shimoni Hasa Hasa Upande Ule Wanaouza Mboga Mboga Na Matunda, Utaona Maduka Tele:-
Utapata Black Seeds Oil
Utapata Ya Mbegu Yaani Unga
Sasa Wewe Mwenyewe
 
Sipo Dar inapatikana kwa bei gani
Ipo Tele Iwapo Upo Dar es salaam
Nenda Kariakoo Pale Shimoni Hasa Hasa Upande Ule Wanaouza Mboga Mboga Na Matunda, Utaona Maduka Tele:-
Utapata Black Seeds Oil
Utapata Ya Mbegu Yaani Unga
Sasa Wewe Mwenyewe
 
Black Seed Oil Tshs 5000/=,8000/=,20000/=,40000/=
Inategemea Yanatoka Nchi Gani Ingawa Mengi Sana Pakistan
Ina kazi gani ndugu? Huwenda ikanisaidia na mm.
 
Ina kazi gani ndugu? Huwenda ikanisaidia na mm.
Wataalam Wa Mambo Wanasema Inatibu Maradhi Tele Yaani Ilitumika Sana Enzi Za Mitume Huko Inatisha
Baadhi Ya Watu Na Thread Zipo Nyingi Sana Humu
Wengine Wanakunywa Wengine Wanapaka
 
Wataalam Wa Mambo Wanasema Inatibu Maradhi Tele Yaani Ilitumika Sana Enzi Za Mitume Huko Inatisha
Baadhi Ya Watu Na Thread Zipo Nyingi Sana Humu
Wengine Wanakunywa Wengine Wanapaka
Shukrani
 
Ina kazi gani ndugu? Huwenda ikanisaidia na mm.
Here are some of the ailments that it prevents, soothes or cures altogether:

  • Colds and flu
  • Asthma
  • Tooth pain
  • Psoriasis
  • Muscle spasms
  • Heart complications
  • Epilepsy
  • Certain cancers
 
Here are some of the ailments that it prevents, soothes or cures altogether:

  • Colds and flu
  • Asthma
  • Tooth pain
  • Psoriasis
  • Muscle spasms
  • Heart complications
  • Epilepsy
  • Certain cancers
Asante sana. Nimegoogle nimeona na mm nitayatafuta.
 
Ipo Tele Iwapo Upo Dar es salaam
Nenda Kariakoo Pale Shimoni Hasa Hasa Upande Ule Wanaouza Mboga Mboga Na Matunda, Utaona Maduka Tele:-
Utapata Black Seeds Oil
Utapata Ya Mbegu Yaani Unga
Sasa Wewe Mwenyewe
Mkuu unga Wa alkasusi kwa jumla wanauza bei gani.Nitashukuru mkuu ukinisaidia bei
 
Kariakoo zipo...kituo cha mwendokasi cha msimbazi upande wa kushoto ukitokea gerezan au kulia ukitokea fire... Kuna migahawa kibao na maduka ya tiba asili kibao Pamoja na msikiti... Ingia duka mojawapo ulizia utapata
 
Back
Top Bottom