mauro
Senior Member
- Nov 28, 2011
- 108
- 34
Habari za Leo wanajamvi,
Nimepata tatizo la kuungua power supply wa TV yangu LG (FLatscreen) nimepeleka kwa mafundi kama 4 wote wameshindwa. Je kuna mtu anafahamu wapi naweza pata mafundi wazoefu ? Kwenye maduka ya LG nimewaomba ikashindikana kwani sikununua hii TV hapa Tz kwenye maduka yao.