Nitamwacha vipi huyu binti? Kadata mpaka naogopa

Nitamwacha vipi huyu binti? Kadata mpaka naogopa

Kwani ushapata sub? Usije kumkumbuka mbeleni!
 
ungekuwa mwanaume wala usingekuja kuomba ushauri hapa kwa ujinga unaoufanya.
 
Kwa hiyo unataka kuchukua kitu ambacho kimeshatumika? Una bahati ya kuanza nae, huoni alikutunzia? Mchukue ni bahati yako, ukimuacha utacharazwa fimbo na Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukushauri sababu bado una akili ya kitoto na bado mvulana kupewa ushauri na mtu kama Mimi. Kuwa kwanza ndo uje ukae meza moja na Mimi kwa majadiliano na ushauri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu sijui mmejambwa badala ya kuzaliwa...!!!
 
Change your mind.
Change your thinking.
Change your attitude.
Be great and smarter.
Think positive only.
 
Nyie ndio mnaodhorotesha elimu kwa watoto wetu wa kike.
 
Ukate utepe na Ndomu!

Mimi sisemi mengi.

Ngoja nitambae
 
Back
Top Bottom