KimetaMwandikie barua,
Natamani nitegeshe CCTV kamera kwao ili niwe namfuatilia kila muda itakua anapata nafasi tu hata ya kutoka kidogo ila mi ninaishu zangu hua napita hapo nikitoka kwenye mishe tu jionimwambie hata jirani yako mwanaume Kutongozee. ila akimchukua usirushe ngumi tu
kwani umetokea mkoa gani,?Natamani nitegeshe CCTV kamera kwao ili niwe namfuatilia kila muda itakua anapata nafasi tu hata ya kutoka kidogo ila mi ninaishu zangu hua napita hapo nikitoka kwenye mishe tu jioni
Kituko gani, si alikupa embe mkononi, muulize alishika nini kabla hajakupa lile embe ili ukamweleze daktari wako, na unaomba namba yake ya simu ili umpe feed back ya daktari.
Correctly Daby unaonesha wewe ni king of MMU mi ni mkimya sana siwezagi matani hata siku ntakayopata nafasi ntaenda strait to the point sinaga kabisa maudambwidambwiMkuu unaonekana mpole saana. Hata kutania tania hauwezi? Tania tania then na yeye atafungua mdomo zaidi ya alivyo sasa. Ukishafanya hivyo inakuwa rahisi hata kuchukua namba ya simu
Hahahaaaaaa noma sana sasa nitafanyaje mkuu na njia zote zimefail itabidi turudi enzi za skuliHahaha... umeandika barua?
Like "nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nakuota.. nakupenda kama mchuzi wa kuku"
Kila la kheri mkuu... nimekumbuka swaga zangu za barua enzi hizo.. noma sana
Hivi kweli hii tuko karne gani.?Mwandikie barua,
Hivi kweli hii tuko karne gani.?
Leo hii umtongoze demu kwa barua kweli.?
Mi nadhani angemtungia wimbo(kama zile za kina "Daimondu")
Kisha aende kurecord then auweke kwenye CD kisha amtumie kwenye bahasha akiambatanisha na business card pamoja na sh elfu 30
Nakuhakikishia demu atakuja mwenyewe gheto bila chupi[emoji15]
Duuh km vile waindi wanavyofanyaga, ila sasa mkuu c inabidi uwe muibajiHivi kweli hii tuko karne gani.?
Leo hii umtongoze demu kwa barua kweli.?
Mi nadhani angemtungia wimbo(kama zile za kina "Daimondu")
Kisha aende kurecord then auweke kwenye CD kisha amtumie kwenye bahasha akiambatanisha na business card pamoja na sh elfu 30
Nakuhakikishia demu atakuja mwenyewe gheto bila chupi[emoji15]
Kumbuka wewe ni stranger kwake lazima ukimwambia direct aogope. Tumia njia ya kuchukua Namba yake kama kuongea saana hauwezi.Correctly Daby unaonesha wewe ni king of MMU mi ni mkimya sana siwezagi matani hata siku ntakayopata nafasi ntaenda strait to the point sinaga kabisa maudambwidambwi