Nitamtambuaje mwenza ambaye ndiye Mungu kanipa?

Nitamtambuaje mwenza ambaye ndiye Mungu kanipa?

Una muuliza tu kama wanafunzi wa yohana mbatizaji walivyo fanya kwa yesu.

"Ndiwe mke wangu mwema kama ninavyotegemea, ama ningoje mwinhine"
Utasikia
"Nakufulia nguo zako chafu na kukunyoshea, nakupikia chakula hadi kitambi kimeota na papuchi unapata"
 
Mungu ni smart sana kiasi hawezi kukufanyia wewe maamuzi kama hayo. Actually ni vyema kumuomba Mungu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Mke wako utamchagua mwenyewe kwa akili Mungu alizokupatia na ni yule utaeridhishwa nae. Kikubwa mpatane kwenye mazingira ya ki Mungu.. Kuna mahali kwenye Biblia inasema 'amani ya Kristo iamue moyoni mwako'.. Tafuta mtu unae mpenda Uhusika wa Mungu au majibu yake utayaona kwenye process nzima ya kukamilisha zoezi..somthing must realy happen we mwenywe utaona hapa kweli Mungu ameweka mkono wake.
 
Ikiwa ulitafuta kwa njia ya maombi ukaamini kwa njia hyo utampata basi zipo ishara tu utaziona kuwa na imani
 
habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Hakunaga
 
ahsante ila katika kuomba nimesikia usitangulize mtu umpendaye au kutaja jina la umpendae katika maombi ya kutafuta mwenza yani nisiende na jibu mbele za Mungu duuh hapa sasa napo pagumu kuunderstand
Hivyo usiende na jibu mpe Mungu kazi, utampata tu , sio kila mrembo ukumuona unasema angekuwa huyu daa! Hapana wako yupo kufunga na kuomba utampata tu
 
Mi nafikiri tu3ndelee tu na mchezo wa kubet kama Biko mwisho wa siku tunapata mke mzuri tu, hakuna namna nyingine.

Maake huwezi kuomba mke mwema ili hali una mademu 5 wote unatembea nao kila mmoja kwa wakati wake, hakuna mke mwema anayepatikana kwa njia ya ngono.
 
habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Subiri uonyeshwe na huyo roho mtakatifu, kama hujui kutongoza utakufa hivyohivyo labda uwaambie ndugu zako wakuletee
 
once you meet and having a time with her, you'll feel like your life has found its missing piece
 
Hakuna mambo ya kufunuliwa na Mungu.
Jiongeze mwenyewe.
 
Wewe utakua kuni mbinguni kiongozi wa dini anaekwambia ivo uyo ni mdhambi akuna mwenza utakae onyeshwa na mungu vya mungu vyote dunia ni swala la kuchagua mwenyewe then kaz ya mungu ni kuwabariki watt wake ili mkaishi wenyewe kwa amani mungu abagui watt wakae
 
habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Mungu ana njia nyingi za kujibu maombi yetu, ndoto maono au anaweza akakufanya kumpenda mtu ambaye ni sahihi kwako na akakufanya kutowajali wale ambao siyo sahihi kwako
 
Kama mnaendana kitabia,hilo ni chaguo la Mungu;na kama hamuendani kitabia hilo ni chaguo la shetani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom