Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 669
- 745
Kuna vigezo ambavyo uliomba awe navyo na unaviona !!
Hakunagahabari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Hivyo usiende na jibu mpe Mungu kazi, utampata tu , sio kila mrembo ukumuona unasema angekuwa huyu daa! Hapana wako yupo kufunga na kuomba utampata tuahsante ila katika kuomba nimesikia usitangulize mtu umpendaye au kutaja jina la umpendae katika maombi ya kutafuta mwenza yani nisiende na jibu mbele za Mungu duuh hapa sasa napo pagumu kuunderstand
Subiri uonyeshwe na huyo roho mtakatifu, kama hujui kutongoza utakufa hivyohivyo labda uwaambie ndugu zako wakuleteehabari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
mw bado nasomaWewe ulikuwa husband materials
Sema tu unaruka ruka kama popcorn
Mungu ana njia nyingi za kujibu maombi yetu, ndoto maono au anaweza akakufanya kumpenda mtu ambaye ni sahihi kwako na akakufanya kutowajali wale ambao siyo sahihi kwakohabari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani