Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Mimi mke wangu nikigundua sicheleweshi kwanza Kuna ngoma nzuri zipo tuu kila siku zinazaliwa
Nenda nunua kipimo mpime
 
Anzia pale ulikoishia kwenye ongezeko au pungufu potezea utakuja kufa boy
 
Msubiri akimaliza bleed nunua kifaa cha kupimia mimba mpime. Kama alikua na mimba akatoa itaonekana bado ipo maana zile homoni za mimba zinaendelea kuwepo kwa wiki kadhaa baada ya kutoa mimba. Mbona rahisi sana kumkamata huyo. Pia kwa haraka haraka mwambie akitoa pedi iliyojaa damu uiangalie kama ina mabonge au dark brown basi ameshusha injini
 
Hapo inategemea kuna wengine akishaanza kubleed tu akipima inakuwa negative.
 
Wewe endelea na mke wako. Angetoa mimba hayo maumivu yanakuwaga kwa masaa mawili matatu wakati vitu vinasukumwa nje. Baada ya hapo anakuwa kawaida kama kwenye bleed.

Mke wako atakuwa hajatoa mimba ila anadeka au ana maambukizi kwenye mlango wa kizazi.
 
Nimekupata mkuu
 
Sasa mkuu si umpeleke hospitalini

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mfanyie kipimo cha mkojo tu kitaonesha.

Ila Sasa hata ukijua sijui itakusaidia vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…