Kitanda hakizai haramu😁Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa,zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani,niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani haikupokea kwa bashasha,stori isiwe ndefu ,nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu,kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki,nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo.
Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa,napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana ndio maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba,asanteni.
Mtu aambukizwe ngoma. What if?Unachokutafuta utakipata...wivu wako huo utakuletea maangamizi ya familia yako pendwa..
mpende mkeo hayo mengine achana nayo mkuu...
Acha utoto kuwa mwanaume...ukijua hutokuja kuwa na amani..chukuli poa tena ile poa Sana.
Mkuu hiyo ajali kazini....Mtu aambukizwe ngoma. What if?
Unampa ushauri mtu ambaye ana taharuki?Unategemea atatoa muitikio gani hapo?Mtu wa hivyo ni wa kumdanganya kwa lugha nzuri ili asifanye madudu zaidi.Kama katoa mimba muda si mrefu kipimo cha mimba kitaonesha " false positive" kwasababu hormone levels zitaonesha bado yu mjamzito huchukua muda kurudi katika hali zake za kawaida.
Wakimalizana sie tunazika tunasahau.Unampa ushauri mtu ambaye ana taharuki?Unategemea atatoa muitikio gani hapo?Mtu wa hivyo ni wa kumdanganya kwa lugha nzuri ili asifanye madudu zaidi.
Mchele umepanda bei aisee!Watatukorogea uji.😝😝😝😝Wakimalizana sie tunazika tunasahau.
Ndio hivyo mkuu wanaotaka kuwahi kwa sir God tuwaache na speed zao, muhimu walishiriki sensa 2022😂😂Mchele umepanda bei aisee!Watatukorogea uji.😝😝😝😝
Tatizo bado hajarudisha kishkwambi na kizibao cha sensa.😝😝😝Ndio hivyo mkuu wanaotaka kuwahi kwa sir God tuwaache na speed zao, muhimu walishiriki sensa 2022😂😂
Sasa kiongozi mambo ya kunusanusa tena haya, sura ya baba wa mimba si inaweza pop up😂Kuwa na pua ya kidetective bro... Bleed harufu yake inakuwa shombo Moja la hatari Sana 😎
Nenda google andika ulivyotuliza unapata jibuNilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Baada ya Mungu zinafuata pesa,siwezi kuacha kwenda kutafuta pesa kwa kuogopa kugongewa,kwasababu najua sio wake za watu wanaogongwa wamesafiri na kukaa muda mrefu huko wanakokwenda,halafu maumivu ya kugongewa kapuku na mwenye chochote kitu ni tofauti.Unajitafutia headaches za bei rahisi.Unakaaje muda mrefu hivyo mbali na mke?Ukiendelea kumchunguza utajikuta upo magereza au na weye utajiua.Kalaghabaho!
Mkuu kua makini aisee msije gawana majengo ya serekali aisee ,Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Staki kuwa na mashaka nataka kuwa na uhakika kama ni bleed au la basi,baada ya jibu mojawapo ndipo nifanye maamuzi sasa,kuendelea kumpenda kama mke au kuondoka zangu na kuendelea na maisha mengine.Kwa kuwa hukuwepo ilipoingia hiyo mimba huwezi kujua kilichotoka, kubali tu kuwa ni bleed.
Wanaume, Mungu awatie nguvu.
Nipo makini sana Mkuu,hata ikionekana alikuwa na mimba sitompiga hata kelbu moja,namwachia kibanda naondoka zangu ili aendelee kulea wanetu,tumejaaliwa watoto wawili Mkuu.Mkuu kua makini aisee msije gawana majengo ya serekali aisee ,
Kama vip we potezea tuu