Nitamsahau vipi X wangu?

Nitamsahau vipi X wangu?

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
161
Tumeachana mwezi wa kwanza lakin mi bado nampenda na ninamkumbuka mda wote chanzo mara ya kwanza akaomba yeye tuachane sababu ni kwamba kila kitu nalalamika kuhusu yeye akanambia kwamba mimi naona sikudeserve tuachane.

Ugomvi ulikuwa mkubwa ndugu wakaingilia kati wakatupatanisha mapenzi yakaendelea ugomvi wa sasa chanzo ni mimi ataki kunisamehe kabisa ila nikimpigia anapokea cm tunaongea tu poa ila sio mambo ya mapenzi tena nifanyej bado roho inaniuma!!

Nikisikia sauti yake nikishakata siim roho inauma natamani tuendelee kuongea tu najisikia raha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeachana mwezi wa kwanza lakin mi bado nampenda na ninamkumbuka mda wote chanzo mara ya kwanza akaomba yeye tuachane sababu ni kwamba kila kitu nalalamika kusu yeye akanambia kwamba mimi naona sikudeserve tuachane ugomvi ulikuwa mkubwa ndugu wakaingilia kati wakatupatanisha mapenzi yakaendelea ugomv wa sasa chanzo ni mimi ataki kunisamehe kabisa ila nikimpigia anapokea cm tunaongea tu poa ila sio mambo ya mapenzi tena nifanyej bado roho inaniuma!! Nikisikia saut yake nikishakata cim roho inauma nataman tuendelee kuongea tu najisikia raha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe muda, usiwe na haraka utapata tu suluhisho.
Kadri muda unavyoenda, utaona muelekeo wa X wako ukoje. Usijifungie kisa maumivu, kabili kila linalokuja mbele yako.
Usisahau kumuomba Mwenyezi MUNGU atakuonyesha njia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigania penzi lako lakini Huyo anayekupenda ukiwa na mtoto ambaye si wake usimdharau na kumkata moja kwa moja, huwezi jua Moyo ni kiungo tricky sana. Kuna siku unaweza kuamka ukaangalia nyuma ukasema daa... Why not him?

Unapopenda usiishie kuingia kwenye ndoa sababu unapenda tu, jiulize umependa nini? Sawa umeshapenda, then what is next?
 
Kwa hasira hizo, soon utaliwa kimasihara. Tutaisoma story yako ya kuliwa kimasihara kwenye usi pendwa ule
Ndo mwanaum niliependa anioe jaman nina machungu mda mwingin akinipigia cm nakat akituma,message sijibu ila hasira zikiisha nampigia,ye,anapokea,tu hata hakat mi nafanya,coz,nina,hasira kwanini tumeachana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigania penzi lako lakini Huyo anayekupenda ukiwa na mtoto ambaye si wake usimdharau na kumkata moja kwa moja, huwezi jua Moyo ni kiungo tricky sana. Kuna siku unaweza kuamka ukaangalia nyuma ukasema daa... Why not him?

Unapopenda usiishie kuingia kwenye ndoa sababu unapenda tu, jiulize umependa nini? Sawa umeshapenda, then what is next?
Hapo ndio pale tunaposhikwa wawili mpaka kumi, huku mkisomwa nani yuko serious,na hapa ndipo ninapowaheshimu wanawake,halafu wote mnapewa mapenzi bila kujuana,atakayeonesha userious ndio anaoa.Wanaonekana kama dhaifu kimwili lakini kiroho ni hatari sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mwanaum niliependa anioe jaman nina machungu mda mwingin akinipigia cm nakat akituma,message sijibu ila hasira zikiisha nampigia,ye,anapokea,tu hata hakat mi nafanya,coz,nina,hasira kwanini tumeachana

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,yawezekana wewe ndio tatizo kwenye hayo mahusiano lakini unataka unyenyekewe huku ukisahau kua duniani amnaga single baba wala mwanaume aliezaa!!

Kua na mtoto nae haimanishi utakua nae,kama ulikua hujui singel mama wanatengenezwagaje basi nenda kwenye kioo na utakae muona huko basi ndio product kamali ya single mama ikiwa imekamilika kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia namwonea huruma mno. Ni bora akanywa sumu aissee kuliko kuchukua huyu mwanamke aliyezalishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayesababisha wanawake waliozalishwa bila ndoa kudharauliwa ni nyie wenyewe wanawake, sasa wewe mzazi mwenzio alishakuacha umepata bwana wa kukuoaa bado unataka kurudiana na alokuzalisha,utapigwa danadana utakuja kushtuka umri umeenda utabaki kudanga na kusema wanaume wote mbwa wakati wenzio wanaenjoy ndoa zao!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,yawezekana wewe ndio tatizo kwenye hayo mahusiano lakini unataka unyenyekewe huku ukisahau kua duniani amnaga single baba wala mwanaume aliezaa!!

Kua na mtoto nae haimanishi utakua nae,kama ulikua hujui singel mama wanatengenezwagaje basi nenda kwenye kioo na utakae muona huko basi ndio product kamali ya single mama ikiwa imekamilika kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman msiombe mtu umpende amenifanyia mambo mengi sana still nataman uwepo wake! Yan nikisikia saut yake bado naifeel mwili unataman awe ata karibu tule

Yan mwanamke atakaekuw nae najisikia wivu sana kwan alikuwa ananifikisha nafurah kun stail moja tu ndo nainjoy ntampata nan tena atakayeweza ili! Utamu wake naujua mm jaman naumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom