Nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa!

Nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa!

Haijalishi kama UKAWA wataniletea maendeleo au la! Lakini mimi na nyumba yangu tutamchagua Mh. Lowassa ili kuionesha dunia kwamba Tanzania ni ya watu wote, si ya ccm pekee!
Hata aje mtu mwingine kuniambia Mh. EN. LOWASSA ni 'vampire' still nitampa kura yangu; simply because nimeamua kuwa yatosha sasa kwa ccm after 54 years below par performance!
CC:
Wana #UKAWA pamoja na wooote wapendao mabadiliko Tanzania!

Asante sana. Umenibariki kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
haijalishi kama ukawa wataniletea maendeleo au la! Lakini mimi na nyumba yangu tutamchagua mh. Lowassa ili kuionesha dunia kwamba tanzania ni ya watu wote, si ya ccm pekee!
Hata aje mtu mwingine kuniambia mh. En. Lowassa ni 'vampire' still nitampa kura yangu; simply because nimeamua kuwa yatosha sasa kwa ccm after 54 years below par performance!
Cc:
Wana #ukawa pamoja na wooote wapendao mabadiliko tanzania!

huna tofauti na mimi kiongozi, mi niliishaamua na huwa sina tabia ya kubadili maamuzi. Kura ni kwa edward lowassa october 25.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya campaign ya mama sema na mwanao nikaona kweli ngoja niseme na wanangu. Nikawaita housegirl na kijana wa bustani kujua wao watampigia nani kura bila kupoteza muda kila mmoja akapiga kelele 'Lowasaaaaa!' Nikajisemea kumbe sina kazi ya kusema na wanangu hao.

Hahahaaaaa nimekupendaje? Mimi mwenzio nina kazi ya kuwashawishi mahouse girl wa watu na wale ambao naona hawajui sana kuhusu siasa.
Matokeo ni mazuri kwakweli, naifanya kazi kisawasawa ya kumtafutia Lowassa kura.
 
Haijalishi kama UKAWA wataniletea maendeleo au la! Lakini mimi na nyumba yangu tutamchagua Mh. Lowassa ili kuionesha dunia kwamba Tanzania ni ya watu wote, si ya ccm pekee!
Hata aje mtu mwingine kuniambia Mh. EN. LOWASSA ni 'vampire' still nitampa kura yangu; simply because nimeamua kuwa yatosha sasa kwa ccm after 54 years below par performance!
CC:
Wana #UKAWA pamoja na wooote wapendao mabadiliko Tanzania!

Ndiyo maana nasema idadi kubwa ya watu wanaomuunga mkono edward hawajui histooria ya nchi hii hivi 5 february 1977 mpaka leo ni miaka 54? ulimbukeni mwingine unakuwa kama bhangi CCM haijatwala nchi hii kwa miaka 54 kama hajui hesabu bora usiandike kitu kura mpe EL lakini hawi Rais ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo Pole sana rudi shule kwanza ndipo ukurupuke
 
Mimi na wafanya kazi wenzangu na wote tuliosoma pamoja ni Lowassa kama kawaida..!!! Alipo na sisi Tupo!!!
 
Mimi ukawa hata wangesimamisha jiwe,sisiem out this time
 
Ndani ya familia yangu nilishamaliza zamani sana, sasa hivi nasaka nyingine tu.
Hadi ndugu walioko abroad nimewaomba waje kumpa kura Lowassa na wanakuja.
#TutaheshimianaTu
 
Hahahaaaaa nimekupendaje? Mimi mwenzio nina kazi ya kuwashawishi mahouse girl wa watu na wale ambao naona hawajui sana kuhusu siasa.
Matokeo ni mazuri kwakweli, naifanya kazi kisawasawa ya kumtafutia Lowassa kura.
We do a great job.
 
Ukiona watu wanajipanga kumshambulia mtu fulani ni kwasababu ya sifa njema aliyonayo. Hata akijitoa, nitampigia kura!

Hahahaaaaa nimekupendaje? Mimi mwenzio nina kazi ya kuwashawishi mahouse girl wa watu na wale ambao naona hawajui sana kuhusu siasa.
Matokeo ni mazuri kwakweli, naifanya kazi kisawasawa ya kumtafutia Lowassa kura.
 
hata waseme mapenzi yangu kwa Lowasa ni kufuata mkumbo mimi nasema ikiwezekana likorogwe limbwata nilinywe niongeze mapenzi kwa Lowasa niongeze speed ya kushawishi umma unaonizunguka haya mabadiliko yatokee
 
silaha peleka polisi mjini kila mtu ni lowassa
 
Lowasaaaaaaaa kura yangu..na ya mkewangu...na watoto wangu ...na baba yangu na wakwe zangu zoooote anazooooo
 
Kama miaka 50 tumeumizwa na CCM, ni heri ni bet hiyo mitano
 
hahahahahaha...umenifurahishaaa sanaaa me kura yangu anayo hata waseme amenibiaaa Mali zangu
 
MIMI,MUME WANGU MASHEMEJI ZANGU WOTE YAANI FAMILIA TANO ZENYE WATU
TAKRIBANI SABA,BEKI TATU WANGU, NDUGU ZANGU WOTE WALIOKO KIJIJINI NI
ZAIDI YA ISHIRINI NA USHEE NA MAJIRANI ZANGU,WANAJUMUIYA WENZANGU,
KINA MAMA WENZANGU WA VICOBA ALMOST WOTE WANANIUNGA MKONO!!!
KURA ZETU NI KWAAAAAAAA............LOWASAAAAAAAAA!!! TUMECHOKA NA MAJUNGU YAO! MARA WAMPINDISHE LIPUMBA,MARA DR.SLAA.. AAAAGGGGGRRRRRRR!!!!!
WE NEED CHANGE!!! PERIOD!:yield:
 
Back
Top Bottom