Haijalishi kama UKAWA wataniletea maendeleo au la! Lakini mimi na nyumba yangu tutamchagua Mh. Lowassa ili kuionesha dunia kwamba Tanzania ni ya watu wote, si ya CCM pekee!
Hata aje mtu mwingine kuniambia Mh. EN. LOWASSA ni 'vampire' still nitampa kura yangu; simply because nimeamua kuwa yatosha sasa kwa CCM after 54 years below par performance!
CC:
Wana #UKAWA pamoja na wooote wapendao mabadiliko Tanzania!