Nitampataje rose1980?

Angalia sana ndugu yangu huyo Rose 1980 si mdada hiyo ni ID tu, huyu jamaa namfahamu ni jibaba moja limejazia kifua tena inasemekana lina katabia fulani ka mombasa nakushauri usimtafute itakula kwako.
 
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku

Usidanganywe picha (avatar). Rose mwenyewe kasha fikia menopause. Mie nilikuwa na hamu kama wewe, lakini nilimuona nikampa shikamoo yake.
 
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku

Ila jiandae kwa matusi, labda ukute siku hiyo mfungo mosi haujaanza maana ni mtambo kwelikweli huyo
 
Hesabuuuuuuuuuuuuuuuuu ni nzuri sana eeeeeeeeeeeh,mwl nifundishe nipate kuelewa,eeeeh mwl nifundisheeeeeeeeeeeeeee. A for apple,b for boy c.........

yani mm ni ww tu unayenifanya nijisikie nipo juuu kwenye hii duniaaa ni wewe
unayejua nina shida ukavumiliaaa
 
Angalia sana ndugu yangu huyo Rose 1980 si mdada hiyo ni ID tu, huyu jamaa namfahamu ni jibaba moja limejazia kifua tena inasemekana lina katabia fulani ka mombasa nakushauri usimtafute itakula kwako.

aaaaaaaaah weweeeeeeeeeee acha kumkatisha tamaa yy kachapenda yuko tayari kwa motokea
 
haswa awe bajaji, au bibi mzee mi nshakubali

m here beb..sor kwa kuchelewa kuja
umekula lakin?
thaxx 4luking me...
me too nafurahi kukuona jf
salama lakin ma braza...issue vp?
nimeona vjembe vng ukitupiwa lakin usijali..its just me n u tumeridhiana thast enaf achana na wapiga kelele ...WASIKUSUMBUE MWAYA

manake naona wengne mpk wananitusi ahh kazi kweli kweli lakin mimi nawapenda tu
TWENDE CHEMBA KM VP apa naona mawingu meeeeeeeeeeng !!!!!11
 
Angalia sana ndugu yangu huyo Rose 1980 si mdada hiyo ni ID tu, huyu jamaa namfahamu ni jibaba moja limejazia kifua tena inasemekana lina katabia fulani ka mombasa nakushauri usimtafute itakula kwako.

haha hahaa ezan wewe acha uchokozi
poch iyo vp aishuk shngon jaman..?
 
Ila jiandae kwa matusi, labda ukute siku hiyo mfungo mosi haujaanza maana ni mtambo kwelikweli huyo

i ni mara ya tatu.bt i do hold u on so u just continue ma braza.NAKUPENDA
bib na bible vilinikataza kurudisha tusi kwa tusi so wewe endelea na swaga zako za matusi,dharau na kashfa kwa mtu ambaye ata rang yake huijui ikoje....
NAKUPENDA .na ninaomba ONGEZA SPID YA MATUSI NA DHARAU.
PAMOJA SANA FERDS.
 
Acha wivu wewe! Kwani mwanamke akifikia menopause anapoteza u-dada?

apo chachaaa!!!!
miaka 52 tu kwan mingi kiivo as long as amesema ananipenda tu?njoo mwaya jino kwa jino tu apa kwa raha zetu..:welcome::welcome::welcome:!!!!!
 
Back
Top Bottom