Nitampataje mchumba wa kizungu?

Unamuunganishia kwa hela??
Hapana,sasa hela ya kulipia Match.com anaiwaza sasa nikumuunganisha na hao watu then akihitajika kuonana naye nchi flani si ndo itakuwa balaa,let say ni M-thai,Mmarekani au mfilipino akihitaji aende kwao itakuwaje?and swali atakaloulizwa baada ya kufahamiana siku mbili tatu litakuwa what do you do for living,wakisikia am still looking mara blah blah, watamkimbia tu lazima
 

Hapana jaman, tucdhalilishane. Si kana kwamba cna hela ya registration, navuta tu subira coz waswahili walishasema "mambo mazuri hayataki haraka" Registration fees zao si kubwa coz kwa miez 6 ni $137.94 na kwa miez mi3 ni almost $77 tu. VISA card pia ninayo so cwez hangaika kufanya online payments
 
Ni ya kulipia as I saw huko kwa mange walioko nje wanaweza kikujuza zaidi

Yes nmeona fees zao. Km nikiona kufanya online payment kwa mimi mwenyewe inanizngua ntamtafuta Mange aweze kunisaidia
 
Yes nmeona fees zao. Km nikiona kufanya online payment kwa mimi mwenyewe inanizngua ntamtafuta Mange aweze kunisaidia

Ntakufanyia bure kwa visa card yangu km utahitaji wewe utatoa tu ile amount hisika. Labda km watachaji direct cost za visa card
 
rules no 1 fuga rasta
rules no2 beba chuma
rules no 3 ishi ufukweni
rules no 4 vaa ndala olways
rules no usikauke kwenye hotel za kitalii na uwe mpenzi wa kuvaa bukta fupifupi.............etc

hizi swaga nimeZIPENDA
 
Sio kosa lako! Waafrica wengi sana bado tuko kwenye utumwa wa akili!!!!
Nenda zanzibar au mahoteli ya kitalii.
Kama unatafuta website nenda google
 
mkuu ingia kuna website moja inaitwa www.datanta.com kaz kwako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…