Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
- Thread starter
-
- #21
Nenda U-turn Blog | u turn blog search mada za nyuma utapata maelekezo yote kuhusu hitaji lako. Kuna website pia ilitolewa Match.com® | The Leading Online Dating Site for Singles & Personals ambayo pia km skosei kuna monthly fees. Kasome huko utapata details. Your life your choices, your life your rules.... Kila la heri.
Kuna mzungu moja anataka kumuoa Kijana wa kiume wa kiafrika. Upo tayari akakukameruni.
Rasta hawana ishu sasa hivi, wazungu wanapenda huge thngs,so kama vip tembea tembea bichi ukiwa na boxer wakion nyoka kubwa wenyewe watajifanya wamepotea njia wanauliz direction (ila jipange for three some).
Ukifuga rasta itakuwa hivi
sasa kama hana joka kubwa ila ana kajongoo kadogo itakuwaje?
Ahsante Jigo
fuga rasta,kuwa rough kidogo halafu uwe unashinda beach utampata.
sasa kama hana joka kubwa ila ana kajongoo kadogo itakuwaje?
Ahsante Jigo
nimependa signature yako.
Kuna group fb interracial love white women and african man. Ingia humo ni free I have friend alipata mumewe interracial love black women and white man
Goodluck
rules no 1 fuga rasta
rules no2 beba chuma
rules no 3 ishi ufukweni
rules no 4 vaa ndala olways
rules no usikauke kwenye hotel za kitalii na uwe mpenzi wa kuvaa bukta fupifupi.............etc
Halafu ukishampata uwe unapiga show ya uhakika 😛
Habari wadau! Mim ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakin sijui nianzaje. Nahitaji awe wa rangi (race) zote duniani ISIPOKUWA Mwafrika (mweusi). Kwa yeyote anayeijua website au link yoyote itakayoniwezesha kupata msichana mzungu naomba anisaidie.
Uvae kimasai, ujiamini utapata. TAHADHARI -baada ya kumpata ukubali kuwa naye peke yake, vinginevyo atakubwaga.HAhaaaahaa!
Ndugu hata waafrica mbona watam tu au unataka mkwanjwa?.Utageuzwa house boy ndugu