Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
NA AKOME KUBADILI WANAUME KAMA NGUO, kwani alibakwa au kataka mwnyw? Eti hamtaki jamaa lkn anafanya naye ngono? Huoni unafiki na uuaji, Aende akapime ukimwi ili asije akamwambukiza mtoto,......NB 60% mtoto anaweza akawa wa jamaa mpya
Kweli dunia tambara bovu! ukalale na wanaume wawili tofauti kwa tofauti ya masaa tu!
There is always 'jinsi'. Hakupaswa kuwa na uhusiano na watu wawili kwa wakati mmoja. Huyo jamaa mpya anajua uwepo wa wazamani? Anajua kama anataka kuzalishwa ili tu dada ajinasue kwa jamaa yake wa zamani?
Siamini kuwa mtu huwezi kujikwamua kutoka kwa mwanamme kama ukiweka nia thabiti
Wana JF Rafiki yangu mpenzi amekwama, ana huzuni kubwa sana ya yaliyompata. Naomba ushauri wenu. Sitaweza kueleza kila kitu. lakini ni long story.
Kifupi. Ana jamaa ambaye ni mume wa mtu. walianzana naye kama 4 years ago. wakati anamfuata, jamaa alisema kuwa hana mke kwa sasa. Mkewe alifariki. Jamaa alionyesha mapenzi makubwa sana. Baada ya miaka 2, dada akajua kuwa jamaaa ana mke. Kila alilifanya dada ili kumtema jamaa, imeshindikana. Jamaa ni kinganganizi, amejipeleka kwa ndugu wote wa dada eti anadia anataka kuoa. Jamaa habanduki kwa dada, kila siku yupo,. Jamaa ana wivu, dada hana rafiki wala nini! dada hana hata nafasi ya kupata mchumba.
Ikatokea bahari dada amekutana na mtu ambaye wanapanga kuoana, shida atamtemaje jamaa, ambaye yuko violent na anakaba hata corner?
Sasa dada akapanga kuzaa na jamaa ili mimba ikitokea amwambie jamaa ili waachane. Bahati nzuri dada akafanya mapenzi na mchumba siku ya 10 na wakafanya tena siku ya 13 machana. Bahati mbaya siku hiyo hiyo ya 13 jioni jamaa akaja, na dada hakuwa na ujanja wakafanya mapenzi usiku. Dada ikamuuma sana, kwa kuwa hadi sasa hajui baba wa mtoto atakuwa yupo. Mzunguko wake ni 28 days. Msaidieni wana JF, msimcheke, msimchambe, ni ya dunia haya!
NA AKOME KUBADILI WANAUME KAMA NGUO, kwani alibakwa au kataka mwnyw? Eti hamtaki jamaa lkn anafanya naye ngono? Huoni unafiki na uuaji, Aende akapime ukimwi ili asije akamwambukiza mtoto,......NB 60% mtoto anaweza akawa wa jamaa mpya
Malizia kabisa, bila kinga! UKIMWI kweli haukwepeki!Kweli dunia tambara bovu! ukalale na wanaume wawili tofauti kwa tofauti ya masaa tu!
Malizia kabisa, bila kinga! UKIMWI kweli haukwepeki!
Mwalimu wangu Gaijin samahani, off topicMmoja akiwa ni mume wa mtu ambae most probably analala na mkewe kavu pia. Mmoja ni jamaa aliyepatikana hivi karibuni (asiyejua hata uwepo wa mume wa mtu kwenye equation) ambae nae anaweza kuwa analala na mwengine kavu kavu!
Haponi mtu
Mwalimu wangu Gaijin samahani, off topic
Kavukavu unamaanisha nini? Kuna tofauti kati ya kavu na kavukavu?
Mwalimu wangu Gaijin samahani, off topic
Kavukavu unamaanisha nini? Kuna tofauti kati ya kavu na kavukavu?