Nitambulike kama "The Destroyer of Feminists"

Nitambulike kama "The Destroyer of Feminists"

Espy miaka yetu wakati tunasoma uliwahi sikia mwanaumr anakimbia majukumu yake?
Uliwah sikia mwanaume anasomeshewa mtoto na upande wa kikeni..?. Lakini ss hv hawa wanaojiita wanaume wamejibweteka hatari ..anategemea ada utoe wewe..kodi ya nyumba wewe..alafu unajiita MWANAUME[emoji14]
Yaani ni changamoto kubwa, sijui ni malezi au ni kitu gani kimewaharibu hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom