Nitambulike kama "The Destroyer of Feminists"

Nitambulike kama "The Destroyer of Feminists"

Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume

Kwa kizazi hiki na kwa sasa sio uanamke na uanaume ila tatizo kubwa ni pale mwanamke anapotaka kuivaa nafasi ya mwanaume na pale mwanaume anapoyakataa majukumu yake ya aunaume kwa kuwa na amani kabisa kuishi hivyo

Wanaume mkiamua kuvaa viatu vyenu mkakaa kwenye nafasi zenu kadri ya misingi ya imani na desturi wanawake watafuata taratibu sahihi za maisha katika jamii bila kushurtishwa
@mama D umeolewa?
 
Cariha na witness wakija hapa huu uzi utaukimbia
 
Cariha na witness wakija hapa huu uzi utaukimbia
Hao mafeminists uchwara mananifahamu barabara nishawasaga mara nyingi kwa facts wakaleta kebehi na dhihaka nikawasaga kwa fimbo ya chuma. Mwanamke ni mwanamke tu huu ujinga wanaojazwa kua sawa na wanaume ni ujinga wa mchana na hata wao wanajua hilo. Na daima niko tayari kuwaonjesha ladha ya udhaifu wa feminism.



The DESTROYER of Feminists
 
Wanawake jiulizeni kwanini vikosi vya mizinga vya majeshi havina wanawake...!?

Mzinga ukipigwa 96% ya wanawake wanablid tukawafutilia mbali kudadek kile kishindo Cha katushya sio mchezo mwisho wa mwanamke kuvumilia kelele ni kishindo cha bereta au Alexander Kalashnikov 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume

Kwa kizazi hiki na kwa sasa sio uanamke na uanaume ila tatizo kubwa ni pale mwanamke anapotaka kuivaa nafasi ya mwanaume na pale mwanaume anapoyakataa majukumu yake ya aunaume kwa kuwa na amani kabisa kuishi hivyo

Wanaume mkiamua kuvaa viatu vyenu mkakaa kwenye nafasi zenu kadri ya misingi ya imani na desturi wanawake watafuata taratibu sahihi za maisha katika jamii bila kushurtishwa
Ndiooo
 
Napenda nitambulishe id yangu mpya ambayo nitaibadilisha ila avatar itabaki hiyo hiyo. "The Destroyer of Feminists", and so shall my identity be.

Binafsi mada zinazonipa shauku ni mada zinazo eleza wazi nafasi ya mwanamke na mwanaume utofauti wa maumbile na majukumu yao. Katika ustawi wa jamii. Hizi movement zimekuja kwa lengo la kuharibu jamii ya mwanadamu na yapaswa kukemea kwa kauli nyoofu movement hizi bila kupepesa macho.

Ila pia nipo hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wanaume wenzangu kusimama imara katika nafasi yetu kama wanaume, kama vichwa vya familia zetu tukilega lega na kuyumbishwa jamii zetu na vizazi vyetu vitaangamia. Tuwapende, tuwalinde na kuwatunza wanawake lakini kamwe tusiendekeze "haki sawa 50/50" This is pure madness.

Kama ambavyo Mshana Jr kajikita katika uchawi, Jokajeusi katika bikra, Kiranga katika simulizi mimi pia najikita kuwawinda na kuwapatia red pill hawa mafeminists.

Katika makala zangu nawatia moyo wanawake wanaokubali jinsia yao na nafasi yao kama wanawake ila wale mafeminists nawaambia ukweli ulio uchi kua wanapotoka na madhara ya upotofu wao ni maangamizo yao wao wenyewe.

Kuna dada zetu hapa jf wataniandama kwa matusi na dhihaka, ila I am the right canditate for this job, nitawasaga kwa fimbo ya chuma.

Hawa mafeminist wa haki sawa nawapa red pill tena kwa lugha kali ulishaona pepo anakemewa kwa kubembelezwa? Feminism is more like a demonic attack na mimi nawakemea kwa lugha kali.

Hawa masingle mothers wa kujitakia wamefika hapo kwa ukosefu wa maadili na niko hapa kuwaambia hili wazi wazi.

Wanaharakati wa haki sawa tehe he he hawa napambana nao na ninawaponda kwa kweli tupu mara kadhaa nafanya reference kwenye vitabu vya dini.


The Destroyer of Feminists
Mungu hakukosea kuweka jinsia ke na me,Me ni Me na Ke ni Ke....shida ni pale Ke inapojiona Me na Me kujifanya Ke.......Me ana Pumb*** ,Ke ana kipochi manyoya hapo hakuna cha 50/50 huo ni ungese kwa anaye usupport....naunga mkono hoja kamanda.
 
Siku akili zikiwajia walaa hamtotumia nguvu. Kumbukeni mlipoziacha akili hadi tukafika hapa. Kuwatukana na kuwadharau wanawake walaaa hakutawasaidia ndio mnazidi kuongezea sumu.

Hivi nyie si ndio mnajiita vichwa vya familia eeeh? Mara viongozi wa wanawake, mara mwanaume ni mwanaume tu(sijui nani aliwaambia nyie ni wanawake)!! Basi simameni kwenye nafasi zenu kwanza, then mtaona kama kuna shida.
 
Feminists Ni Kama mdada wa kilokole aliyekolezwa na mahubiri ya mchungaji[emoji1]
 
Ukweli mchungu na daima nausema bila kupindisha, nyie mafeminists uchara am here to give you your red pill.

Unionee mimi huruma ?! au wewe usieolewa umebaki unatumika kama kupo la sperm na mabaharia ?! Seriously nani wa kuonea huruma ?! Na mtakula jeuri yenu. Nitawanyoosha kwa fimbo ya chuma maana nyie mafemieists uchwara mnaleta anguko la jamii na ustawi wa mwanadam kwa ujumla.


The DESTROYER of Feminists

hahaaaa kutokuolewa ni ukilema mpaka unionee huruma? yes kutokana na topics zako unahitaji msaada,mbaya ni hujui kama unahitaji msaada....veeery sad
 
Hatuwezi kupata suluhisho pasi na kujua chanzo cha tatizo......harakati za wanawake kudai usawa au kujiona sawa na wanaume hazikuanza leo kama mlipuko bali ni mtiririko wa matukio ya kwenye jamii zetu ndio yamepelekea hali hii.......na hii inatokana na sisi wanaume kuukimbia uhalisia wetu na wajibu wetu unaotokana na maumbile yetu kama baba na kiongozi wa familia......

Ni rahisi kwa baba kuikimbia familia yake kwa sababu za kipuuzi lakini si rahisi mama kuwatelekeza wanawe kwa sababu yoyote ile na hili linaonekana wazi kwenye familia zetu nyingi sana......

Ni wazi kuwa wanawake wengi wamekuwa wakibeba majukumu ambayo yalipaswa kubebwa na wanaume kama vichwa vya familia......sasa katika mtiririko wa matukio kama haya haiwezi kuonekana thamani wala heshima ya wanaume kwenye jamii.....nilishawahi kupokea kesi nyingi sana za wakina baba wenye vipato lakini hawahudumii au wanahudumia familia kwa mbinde sana........

Watoto wa kike wanaolelewa kwenye familia za namna hiyo hawawezi kuuona umuhimu wa mwanaume kama baba wa familia ikiwa mama yao pekee ndio alisimama nao kwa jasho na damu mpaka wao kufikia hapo.......

Wapo vijana wengi wa kiume ambao ndoto zao ni kumpata mmama mwenye fedha ili amlee......mkusanyiko wa matukio haya ndio chimbuko hasa la hizi harakati.....mwanaume huwezi kupata nguvu ya kumuonya au kumkanya mwanamke ambaye hajui mchango wowote kwenye maisha yake......

WANAUME TUJISAHIHISHE, HIZI HARAKATI ZITAFIFIA NA KUFA ZENYEWE MAANA HAWA FEMINIST WATAPAMBANA NA WANAWAKE WENZAO WANAOISHI NA WANAUME WANAOTIMIZA WAJIBU WAO.....


Msalimie mkeo🥰🥰🥰 uishi miaka tele mkuu...wangepatikana kama wee 20 tu hakika tungekuwa na nuru nyusoni mwetu
 
Siku akili zikiwajia walaa hamtotumia nguvu. Kumbukeni mlipoziacha akili hadi tukafika hapa. Kuwatukana na kuwadharau wanawake walaaa hakutawasaidia ndio mnazidi kuongezea sumu.

Hivi nyie si ndio mnajiita vichwa vya familia eeeh? Mara viongozi wa wanawake, mara mwanaume ni mwanaume tu(sijui nani aliwaambia nyie ni wanawake)!! Basi simameni kwenye nafasi zenu kwanza, then mtaona kama kuna shida.
Espy miaka yetu wakati tunasoma uliwahi sikia mwanaumr anakimbia majukumu yake?
Uliwah sikia mwanaume anasomeshewa mtoto na upande wa kikeni..?. Lakini ss hv hawa wanaojiita wanaume wamejibweteka hatari ..anategemea ada utoe wewe..kodi ya nyumba wewe..alafu unajiita MWANAUME😛
 
Ngoja nikae na popcorn pembeni nicheki mtanange huu


Endeleeni kushusheni hizo komenti basi uzi unapoa huu
 
Kwa mtazamo wangu Mimi haki sawa imekuja kutusaidia wanaume.... Sema wanaume walio wengi hawajui jinsi ya kuenda nayo...!

Binafsi ukisha ona huyu mwanamke ni feminist wala usipate shida mpende zaidi.. Na jipige pige kifuani sema Hakika Mwenyezi Mungu kakupa wife material [emoji23][emoji23][emoji23]


Cha kufanya hapa sasa hakikisha huyo mwanamke unaanza nae from the scratch Yaani zero Yaaani Kama kiwanja 10milion hakikisha tano zako tano zake...... Sement mifuko 100 hapa mnaenda sawa kila kitu.... Usijifanye wewe kidume eti unanua mingi kuliko yeye utakua fala sana Maana siku ya kugawana hawata sema ulinunua mifuko mingi Basi uchukue asilimia 70[emoji23][emoji23]ngoma ni 50/50


Key point
Hakikisha mnaanza wote zero hata Kama unacho kingi sasa wewe jifanye wewe ndio lava lava... Sijui jentromeni wa bongo imekula kwako.... Hawa Mbuzi usitumie nguvu tumia akili tu mbona wananyoosha njia..

Nina mengi.. Mengine kesho asubuhi
 
Dah hili ni swala mtambuka sana..

Tulipofika ni mbali,,, na inachosha sana tukifikiria kurudi..

Feminist wengi hawajui hata wanacho fight ni kitu gani...

Wanaume tusimame imara katika nafasi zetu kijamii, familia na majukumu yote... Linaweza pungua hili tatizo.
 
Back
Top Bottom