mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,480
Bujibuji tukijua kuweka imani zetu kando tunapojadili mambo yanayoligusa taifa tutakuwa wazazi na walezi bora katika kujenga jamii yetuSoon you will be destroyed by a very silly lady
Bujibuji tukijua kuweka imani zetu kando tunapojadili mambo yanayoligusa taifa tutakuwa wazazi na walezi bora katika kujenga jamii yetuSoon you will be destroyed by a very silly lady
Yaani wewe nahisi ni Tulia.
Sura mbaya, umbo baya, roho mbaya. Mnafiki, na katili. Halafu unajifanya mcha Mungu.
God help!
Mimi ni mbaya ila siyo mbaya wa kila kitu mpaka roho na sura. Shetani kabisa 🐍🐍🐍🐍Aliyemuumba Tulia na mapungufu yake ndie aliyekuumba wewe na ukamilifu wako. Simama kama mwanaume tujenge jamii ya watu wanaojielewa wacha kurukaruka
Halafu wewe mzuri eee? Nani alikuambia🤣🤣🤣
Tatizo lenu CCM ni ubinafsi, ubaguzi na chuki. Huwa mnaona watu wenye mawazo tofauti na nyie ni maadui, hata wakiwa na mawazo constructiveBujibuji tukijua kuweka imani zetu kando tunapojadili mambo yanayoligusa taifa tutakuwa wazazi na walezi bora katika kujenga jamii yetu
wanawake kama wewe wachache mno.. em kunywa soda kwa mangi hapo..napitia kulipaMwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume
Kwa kizazi hiki na kwa sasa sio uanamke na uanaume ila tatizo kubwa ni pale mwanamke anapotaka kuivaa nafasi ya mwanaume na pale mwanaume anapoyakataa majukumu yake ya aunaume kwa kuwa na amani kabisa kuishi hivyo
Wanaume mkiamua kuvaa viatu vyenu mkakaa kwenye nafasi zenu kadri ya misingi ya imani na desturi wanawake watafuata taratibu sahihi za maisha katika jamii bila kushurtishwa
Wewe mzuri buanaaa, si unaona ulivyomponda Tulia😂😂😂Mimi ni mbaya ila siyo mbaya wa kila kitu mpaka roho na sura. Shetani kabisa 🐍🐍🐍🐍
Duh UBARIKIWE SANA Tungepata only 10% ya wanaume wote kama wewe hakika DUNIANI MAISHA YANGEBOREKA SANANapenda nitambulishe id yangu mpya ambayo nitaibadilisha ila avatar itabaki hiyo hiyo. "The Destroyer of Feminists", and so shall my identity be.
Binafsi mada zinazonipa shauku ni mada zinazo eleza wazi nafasi ya mwanamke na mwanaume utofauti wa maumbile na majukumu yao. Katika ustawi wa jamii. Hizi movement zimekuja kwa lengo la kuharibu jamii ya mwanadamu na yapaswa kukemea kwa kauli nyoofu movement hizi bila kupepesa macho.
Ila pia nipo hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wanaume wenzangu kusimama imara katika nafasi yetu kama wanaume, kama vichwa vya familia zetu tukilega lega na kuyumbishwa jamii zetu na vizazi vyetu vitaangamia. Tuwapende, tuwalinde na kuwatunza wanawake lakini kamwe tusiendekeze "haki sawa 50/50" This is pure madness.
Kama ambavyo Mshana Jr kajikita katika uchawi, Jokajeusi katika bikra, Kiranga katika simulizi mimi pia najikita kuwawinda na kuwapatia red pill hawa mafeminists.
Katika makala zangu nawatia moyo wanawake wanaokubali jinsia yao na nafasi yao kama wanawake ila wale mafeminists nawaambia ukweli ulio uchi kua wanapotoka na madhara ya upotofu wao ni maangamizo yao wao wenyewe.
Kuna dada zetu hapa jf wataniandama kwa matusi na dhihaka, ila I am the right canditate for this job, nitawasaga kwa fimbo ya chuma.
Hawa mafeminist wa haki sawa nawapa red pill tena kwa lugha kali ulishaona pepo anakemewa kwa kubembelezwa? Feminism is more like a demonic attack na mimi nawakemea kwa lugha kali.
Hawa masingle mothers wa kujitakia wamefika hapo kwa ukosefu wa maadili na niko hapa kuwaambia hili wazi wazi.
Wanaharakati wa haki sawa tehe he he hawa napambana nao na ninawaponda kwa kweli tupu mara kadhaa nafanya reference kwenye vitabu vya dini.
The Destroyer of Feminists
Sasa Bujibuji niambie mimi nimewahi kukuchukia lini? Au wewe ndio unanichukia🤔Tatizo lenu CCM ni ubinafsi, ubaguzi na chuki. Huwa mnaona watu wenye mawazo tofauti na nyie ni maadui, hata wakiwa na mawazo constructive
Soda ya saa hizi😍😍 hizi ndio naziita baraka za jumapiliwanawake kama wewe wachache mno.. em kunywa soda kwa mangi hapo..napitia kulipa
Hii yote ni kutaka uhalalishiwe kumpiga mwanamke, kumlala bila ridhaa yake, kufanya upuuzi kwa kigezo cha 'Mi si mwanaume' ikiisha kwaresma fanya tuonane.
Hatuwezi kupata suluhisho pasi na kujua chanzo cha tatizo......harakati za wanawake kudai usawa au kujiona sawa na wanaume hazikuanza leo kama mlipuko bali ni mtiririko wa matukio ya kwenye jamii zetu ndio yamepelekea hali hii.......na hii inatokana na sisi wanaume kuukimbia uhalisia wetu na wajibu wetu unaotokana na maumbile yetu kama baba na kiongozi wa familia......
Ni rahisi kwa baba kuikimbia familia yake kwa sababu za kipuuzi lakini si rahisi mama kuwatelekeza wanawe kwa sababu yoyote ile na hili linaonekana wazi kwenye familia zetu nyingi sana......
Ni wazi kuwa wanawake wengi wamekuwa wakibeba majukumu ambayo yalipaswa kubebwa na wanaume kama vichwa vya familia......sasa katika mtiririko wa matukio kama haya haiwezi kuonekana thamani wala heshima ya wanaume kwenye jamii.....nilishawahi kupokea kesi nyingi sana za wakina baba wenye vipato lakini hawahudumii au wanahudumia familia kwa mbinde sana........
Watoto wa kike wanaolelewa kwenye familia za namna hiyo hawawezi kuuona umuhimu wa mwanaume kama baba wa familia ikiwa mama yao pekee ndio alisimama nao kwa jasho na damu mpaka wao kufikia hapo.......
Wapo vijana wengi wa kiume ambao ndoto zao ni kumpata mmama mwenye fedha ili amlee......mkusanyiko wa matukio haya ndio chimbuko hasa la hizi harakati.....mwanaume huwezi kupata nguvu ya kumuonya au kumkanya mwanamke ambaye hajui mchango wowote kwenye maisha yake......
WANAUME TUJISAHIHISHE, HIZI HARAKATI ZITAFIFIA NA KUFA ZENYEWE MAANA HAWA FEMINIST WATAPAMBANA NA WANAWAKE WENZAO WANAOISHI NA WANAUME WANAOTIMIZA WAJIBU WAO.....
If women wants to be our equals they should piss while standing but if they piss in frog-todie style they will remain women. THE DESTROYER OF FEMINIST...Napenda nitambulishe id yangu mpya ambayo nitaibadilisha ila avatar itabaki hiyo hiyo. "The Destroyer of Feminists", and so shall my identity be.
Binafsi mada zinazonipa shauku ni mada zinazo eleza wazi nafasi ya mwanamke na mwanaume utofauti wa maumbile na majukumu yao. Katika ustawi wa jamii. Hizi movement zimekuja kwa lengo la kuharibu jamii ya mwanadamu na yapaswa kukemea kwa kauli nyoofu movement hizi bila kupepesa macho.
Ila pia nipo hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wanaume wenzangu kusimama imara katika nafasi yetu kama wanaume, kama vichwa vya familia zetu tukilega lega na kuyumbishwa jamii zetu na vizazi vyetu vitaangamia. Tuwapende, tuwalinde na kuwatunza wanawake lakini kamwe tusiendekeze "haki sawa 50/50" This is pure madness.
Kama ambavyo Mshana Jr kajikita katika uchawi, Jokajeusi katika bikra, Kiranga katika simulizi mimi pia najikita kuwawinda na kuwapatia red pill hawa mafeminists.
Katika makala zangu nawatia moyo wanawake wanaokubali jinsia yao na nafasi yao kama wanawake ila wale mafeminists nawaambia ukweli ulio uchi kua wanapotoka na madhara ya upotofu wao ni maangamizo yao wao wenyewe.
Kuna dada zetu hapa jf wataniandama kwa matusi na dhihaka, ila I am the right canditate for this job, nitawasaga kwa fimbo ya chuma.
Hawa mafeminist wa haki sawa nawapa red pill tena kwa lugha kali ulishaona pepo anakemewa kwa kubembelezwa? Feminism is more like a demonic attack na mimi nawakemea kwa lugha kali.
Hawa masingle mothers wa kujitakia wamefika hapo kwa ukosefu wa maadili na niko hapa kuwaambia hili wazi wazi.
Wanaharakati wa haki sawa tehe he he hawa napambana nao na ninawaponda kwa kweli tupu mara kadhaa nafanya reference kwenye vitabu vya dini.
The Destroyer of Feminists
Nawalaumu wanaJF kwa kulea bomu kama hili,any one with negative view about women/men shouldnt be allowed/encouraged kujaza sumu/influence others humu, ukimsoma mtoa mada topics zake utamuonea huruma na kumsikitia sio kumsifu..mnakosea wanaJF!