Nitalipwa kwa njia gani? msaada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitalipwa kwa njia gani? msaada!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Columbus, Sep 5, 2012.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimepata mteja wa industrial laptop yangu nje ya nchi(Spain)na ametaka kuinunua, sasa nimeshindwa nianzie wapi? kama nitaamua kutumia Carrier kama DHL taratibu zikoje, malipo yatafanyikaje kuepuka utapeli? nadhani jibu litakuwa na manufaa kwa wengine pia.
   
 2. chash

  chash JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu, napendekeza utumie njia ya escrow. Escrow ni kampuni ambayo inachukuwa nafasi ya mtu wa tatu kwenye biashara ili kuhakikisha mnunuzi na muuzaji wameridhika na biasharaa. Hiyo ni kusema mnunuzi atalipa escrow kwanza, wewe utatuma mzigo direct kwa mnunuzi na tracking number uwape escrow. Watahakikisha mnunuzi amepokea mzigo na ameridhika ili wakukabidhi hela yako. Hapo hakuna yeyote ataweza kumtapeli mwingine. Ili kuelewa zaidi na kujisajili kwenye escrow nenda kwenye hii link https://www.escrow.com/solutions/escrow/process.asp

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  1.napendekeza utumie njia ya escrow. Watahakikisha mnunuzi amepokea mzigo na ameridhika ili wakukabidhi hela yako. Hapo hakuna yeyote ataweza kumtapeli mwingine. Ili kuelewa zaidi na kujisajili kwenye escrow nenda kwenye hii link https://www.escrow.com/solutions/escrow/process.asp

  2. malipo ufanyika kwa njia ya debit/credit cards/ paypal/ alertpay etc
   
 4. a

  arinaswi Senior Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli jf ni nioumer!!!!! Thanks a lot chash, umetusaidia wengi sana
   
 5. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  Samahani mkuu hizi njia ulizoshauri zinafanyika hapa Tanzania, benki za Tanzania zinatoa Debit/Credit cards zinazotambulika kimataifa? na hizo paypal na alertpay ni nini?
   
Loading...